Jinsi Yanga ilivyodhulumiwa nusu fainali ya CAF Champions League

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
266
393
Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969.

Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya kufanya vizuri sana kwenye mashindano
Hatua ya awali.

Yanga wakakutana na fitarikandro ya Madagascar Yanga walishinda 4-0 na marudiano yanga wakafungwa 2-0 kuendelea
Raundi ya kwanza.

Yanga walikutana na Saint George ya Ethiopia wakatoka 0-0 mechi ya kwanza na mechi ya pili wakaipiga bila huruma saint george 5-0 na kuingia robo fainali moja kwa moja.

Hapa Yanga ikawa timu ya kwanza nchini Tanzania kuingia Robo fainali

Robo fainali
Yanga walikutana na Asante Kotoko na wakatoka sare 1-1 mechi zote mbili hatimaye ikaamuliwa irushwe shilingi ili iamue nani aende nusu fainali.

Makapteni wote wawili wakishuhudia shilingi ikarushwa hata hivyo kapteni wa Asante kotoko alifanya udanganyifu kwani kabla shilingi haijatua alijifanya kushangilia na kumfanya kapteni wa Yanga Abdulrahaman kuamini kuwa shilingi imeangukia upande wake.

Ndipo Yanga ikadhulumiwa nafasi ya kuwa timu ya kwanza kuingia nusu fainali, rekodi iliyokuja kuwekwa na watani zao Simba mwaka 1974.

kitwana Manara akaingia kwenye orordha ya wafungaji bora akiwa mfungaji bora namba tisa mwenye magoli mawili.

i
g1.jpg
g2.jpg
g3.jpg
g4.jpg
 
Izo hadithi za kale mimi hazinihusu,nataka Simba,Azam,Namungo,KMC msimu ujao zipambane kuingia nusu ama fainali caf champions league ili kukuza thamani na brand ya ligi ya Tanzania.
 
Namungo hawahawa ambao wamecheza shirikisho? Wanawahi sana kukata moto yani round ya kwanza tu chali
 
Kumbe TFFwalianza zamani kuwadhulumu!!
Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969.

Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya kufanya vizuri sana kwenye mashindano
Hatua ya awali.

Yanga wakakutana na fitarikandro ya Madagascar Yanga walishinda 4-0 na marudiano yanga wakafungwa 2-0 kuendelea
Raundi ya kwanza.

Yanga walikutana na Saint George ya Ethiopia wakatoka 0-0 mechi ya kwanza na mechi ya pili wakaipiga bila huruma saint george 5-0 na kuingia robo fainali moja kwa moja.

Hapa Yanga ikawa timu ya kwanza nchini Tanzania kuingia Robo fainali

Robo fainali
Yanga walikutana na Asante Kotoko na wakatoka sare 1-1 mechi zote mbili hatimaye ikaamuliwa irushwe shilingi ili iamue nani aende nusu fainali.

Makapteni wote wawili wakishuhudia shilingi ikarushwa hata hivyo kapteni wa Asante kotoko alifanya udanganyifu kwani kabla shilingi haijatua alijifanya kushangilia na kumfanya kapteni wa Yanga Abdulrahaman kuamini kuwa shilingi imeangukia upande wake.

Ndipo Yanga ikadhulumiwa nafasi ya kuwa timu ya kwanza kuingia nusu fainali, rekodi iliyokuja kuwekwa na watani zao Simba mwaka 1974.

kitwana Manara akaingia kwenye orordha ya wafungaji bora akiwa mfungaji bora namba tisa mwenye magoli mawili.

iView attachment 1798252View attachment 1798253View attachment 1798254View attachment 1798255
 
Namungo hawahawa ambao wamecheza shirikisho? Wanawahi sana kukata moto yani round ya kwanza tu chali
Wamejitahidi sana,Namungo kupanda ligi miaka michache kucheza shirikisho mpaka hatua ya makundi, kwakweli wamijatahidi hasa ukizingatia usajili wao mdogo na uchumi walionao.
 
Sheikh timu ya waziri mkuu imebebwa na corona, Timu zikija wachezaji 8 wanaambiwa wana corona
 
Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969.

Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya kufanya vizuri sana kwenye mashindano
Hatua ya awali.

Yanga wakakutana na fitarikandro ya Madagascar Yanga walishinda 4-0 na marudiano yanga wakafungwa 2-0 kuendelea
Raundi ya kwanza.

Yanga walikutana na Saint George ya Ethiopia wakatoka 0-0 mechi ya kwanza na mechi ya pili wakaipiga bila huruma saint george 5-0 na kuingia robo fainali moja kwa moja.

Hapa Yanga ikawa timu ya kwanza nchini Tanzania kuingia Robo fainali

Robo fainali
Yanga walikutana na Asante Kotoko na wakatoka sare 1-1 mechi zote mbili hatimaye ikaamuliwa irushwe shilingi ili iamue nani aende nusu fainali.

Makapteni wote wawili wakishuhudia shilingi ikarushwa hata hivyo kapteni wa Asante kotoko alifanya udanganyifu kwani kabla shilingi haijatua alijifanya kushangilia na kumfanya kapteni wa Yanga Abdulrahaman kuamini kuwa shilingi imeangukia upande wake.

Ndipo Yanga ikadhulumiwa nafasi ya kuwa timu ya kwanza kuingia nusu fainali, rekodi iliyokuja kuwekwa na watani zao Simba mwaka 1974.

kitwana Manara akaingia kwenye orordha ya wafungaji bora akiwa mfungaji bora namba tisa mwenye magoli mawili.

iView attachment 1798252View attachment 1798253View attachment 1798254View attachment 1798255
Kwahiyo umeamua kudhihirisha Yanga ni timu ya Wajinga? Yaani hata sarafu hamjui tofauti ya pande zake 😂😂😂😂😂
 
Kweli kabisa na kulikuwa na wajinga zaidi yyetu ambao ni timu zilizobaki tulizokuwa tukiziwakilisha
 
Hivi kuna ujinga zaidi ya kujivuniahabari za 1969 huko?
Ndiyo upo! ni ujinga wa kujisahaulisha historia yako, mwaka huu simba wameingia robo fainali lazima tujikumbushe timu ya kwanza kufanya hivyo
 
Mavi ya kale hayanuki.... Mla mla leo, mla jana kala nini? Klabu bingwa Afrika mwaka huo ilikuwa imeanzishwa? Usipotoshwe na Wikipedia... Hata mimo naweza kuandika humo mambo ninayoyapenda kisha nikauatumia kama reference
 
Back
Top Bottom