yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Kuwa Kinara Sokoni (Being The Market Leader) Bila Kufanya Matangazo

    Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema kufanya matangazo (advertising) ndio njia muafaka, kwa sababu; matangazo hujenga uelewa wa huduma au...
  2. I

    SoC02 Wanawake na mitandao, leo kwake kesho kwa dada yako au mpenzi wako

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara zinazofanya vizuri katika matumizi ya mitandao ya kijamii. Ripoti ya takwimu za robo ya pili ya mwaka 2020 za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilionesha watumiaji wa intaneti wameongezeka hadi kufikia milioni 27.1 mwezi Juni...
  3. N

    Wana-Simba, mwaka huu ndiyo umeisha; tusubiri usajili wa mwakani

    Najua nitaitwa majina yoote hapa, "shabiki maandazi, hujui mpira wewe, ushawahi kucheza mpira?unachangia sh ngapi" Kwa kweli ikitokea simba ikachukua ubingwa wa ligi basi itakuwa miujiza mikubwa sana na kufika robo fainali ya CAF itabidi ifanywe sherehe kubwa sana. Aiseee, eiiish ...
  4. Mambo kumi ya kuzingatia kwenye Blog yako kabla ua kuanza rasmi

    Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha umeyaweka sawa kabla hujaendelea na swala zima la Blogging. Mengi ya haya mambo yatakua sio mageni...
  5. J

    SoC02 Hii ni sauti ya dada yako, rafiki yako naitwa Judith Kaunda, karibu unisikilize

    Wakati wa balehe kuna changamoto nyingi sana, binafsi nimekumbana na mengi. Mengine yakinisibu moja kwa moja, mengine nikijionea kwa macho, kati ya mengi niliyoona kwa macho, lilinitisha lile la mapenzi ya jinsia moja. Kama uliipita vyema balehe yako, basi na tumshukuru Mungu. Balehe nd’o ujana...
  6. Jinsi ya ku unlock abilities zilizopo ndani yako

    Hiki ni kisa ambacho kitakufanya uweze ku unlock abilities(uwezo) ambao upo ndani yako. Hapa tunaona mfano wa simba mdogo ambaye amekua tangu akiwa mdogo pamoja na kundi la kondoo, hali iliyomfanya adhani yeye ni kondoo na kuishi pamoja na kula majani kama kondoo. Hali hii iliendelea hadi...
  7. SoC02 Maisha yetu yako vichwani mwetu ila utekelezaji upo mikononi mwetu

    Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kisichowezekana katika maisha kwani tuna mifano mingi ya watu waliozaliwa katika familia maskini ila wakawa kuja matajiri. Tambua kuwa umakini, uthubutu na jitihada zako ndizo zinaweza kuamua kesho yako. Wapo waliobahatika kupata pesa ila hawakudumunazo...
  8. Wale wapenzi wa Reggae tukutane hapa! Taja ngoma yako unayoikubali

    Binafsi namkubali sana Gregory Isaacs na lile kundi la UB40
  9. Ushauri: Epuka kufanya haya kwenye uhusiano wako

    Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakuondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo...
  10. M

    Unapojenga nyumba ya kuishi fikiria sana mahitaji yako halisi, vyumba vitatu vinatutesa wengi

    kipindi hiki cha likizo, mimi kama mwalimu ili kupunguza zarau maana tunaonekana walimu ndio watu maskini na hatuna akili nchi hii,so kama kawaida likizo hii nimendelea kufanya biashara zangu za mazao na nimejikuta nipo zambia , hulka yangu napenda kudadisi na kujifunza vitu vipya...
  11. SoC02 TEKNO MAARIFA: Simu Janja yako ni Ofisi yako

    1. Utangulizi Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga...
  12. SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    “Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu” ni kauli maarufu sana katika hizi juma chache zilizopita miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania. Kauli hii inatumiwa sana na Mtanzania, Bwana Joramu Nkumbi aliyejizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa matumizi ya lugha...
  13. NIDA; urasimu wa upatikanaji wa NIN number online, umegeuka fursa(dili) kwenye ofisi za wilaya. Kupata NIN yako bila kutoa chochote, sahau!

    Mamlaka ya vitambulisho vya taifa tanzania ( NIDA) sidhani kama walikuwa na lengo la kukamilisha mradi huu kwa wakati, Nahisi kuna watu ndani ama nje ya idara hii kwa makusudi na kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wanaosababisha kadhia hii iendelee kwa makusudi kabisa. Urasimu huu unakuja...
  14. Je, unafanya kazi inayoendana na masomo yako?

    Wanajamvi tumeshuhudia wasomi wengi wanaomaliza vyuo tofauti wakianza harakati za kutafuta ajira huku wengine wakijiajiri wenyewe kutokana na sababu tofauti ikiwemo kutaka manufaa makubwa ama kwasababu ya ukosefu wa ajira. Je ukiwa kama msomi, unafanya kazi zinazoendana na masomo yako? Kama...
  15. Unawezaje kukopi maandiko yaliyopo zaidi ya miaka 600 na kusema ni mafunuo yako mapya

    Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa. Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa...
  16. Usilalamike huna mvuto, unapuuzwa au kuhisi nyota yako imechafuka, Kuwa msafi na uvae upendeze ndio dawa, usivae tu ilimradi, PENDEZA!

    Ohhh nikipita nikimsimamisha mtu ananipuuza/ Ohh nikiongea hata point ni kama vile sisikilizwi/ Ohh nahisi wameniibia nyota...n.k. Asilimia kubwa ya hawa watu huishia kutapeliwa na dawa za mvuto, huishia kutapeliwa nawaganga feki, huishia kuomba kwa Mungu kwa tatizo wanaloweza kulitatua wenyewe...
  17. SoC02 Mtindo wa maisha yako ndiyo afya yako

    MTINDO WA MAISHA YAKO NDIYO AFYA YAKO Habari wanajukwaa ,mimi kama kijana wa kitanzania mwenye uchu wa mapinduzi chanya ya kiafya kwa watanzania nawaletea kwenu ujumbe huu unaogusia zaidi “Mitindo yetu ya maisha na mchango wake katika afya zetu” UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi ambazo...
  18. S

    SoC02 Machozi yako yananiliza

    Miaka kadhaa nyuma familia ya Mzee Masega wa kijiji cha Mkata kamba ilipata mtoto mzuri wa kiume mwenye afya njema ya kuridhisha na mwenye tabasamu mwanana. Mama wa mtoto akapewa Heko na hongera nyingi kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia yake. Baba alipongezwa kwa kupata dume, dume...
  19. C

    SoC02 Imarisha biashara yako

    FAHAMU JINSI YA KUTAFUTA SOKO NA MASOKO. Utangulizi: Kuwafundisha washiriki wote kufikiri ki- masoko na kuelewa baadhi ya mbinu za masoko kitu ambacho kitawafanya waelewe maana ya maneno “soko na masoko” pia utafiti wa soko na kuyafanyia kazi katika biashara/miradi yao. Soko ni nini? Soko...
  20. SoC02 Jinsi ya kuboresha uhusiano wako na watu wanaokuzunguka kwenye jamii yako

    Mtaji mkubwa wa mtu ni watu kwa maana hiyo unahitaji kuwa na ujuzi wa kuishi vizuri na watu “Interpersonal skill” pasipo kujali upo wapi na unafanya nini; lakini kupitia makala hii utaenda kuwa mtu mwenye kuishi vizuri na watu na kufanya watu kuvutiwa na uwepo wako kwenye jamii yako, na amini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…