yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Ustaarabu na unyenyekevu utakusaidia siku ambayo akili yako imeshindwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo lako

    Nimekumbuka vitu kadhaa leo ngoja nijitahidi kuandika japo sio mwandishi mzuri sana. Kunawakati tunapitia vitu vingi na tunakutana na watu wengi tofauti tofauti kwenye maisha wenye kutufurahisha na kutukwaza lakini tujitahidi kujifunza ustaarabu na unyenyekevu hasa tunapokwazika inawezekana...
  2. Naleta wateja kwenye biashara yako/company, unanipa commission

    Nakusalimu Kwa unyenyekevu, na Kumshukuru Mungu Kwa Uwepo Wako. Ndugu Yangu Mimi ni kijana 27Yrs, Naishi kigamboni - Dar es salaam. Graduate wa Science in Education with ICT. Mbali na taaluma pia nimesoma course kadhaa za biashara mf. DIGITAL MARKETING. Nimefanya kazi ya Mauzo Kwa kuzunguka na...
  3. M

    Kwanini kama Mzazi wa Kiume ukimkanya Binti yako Maneno ya Kisela anakutii, ila ukimkanya Kiustaarabu anakupuuza?

    Tokea nimkanye Binti yangu kwa Maneno ya Kisela ( Kimjini Mjini ) kama haya yafuatayo amebadilika, ananiogopa na ananitii ile mbaya. "Oya si unajiona umeshakua sawa Viziwa vimejitokeza na Makalio yako Kuvimba kama Maandazi ya Azam? Sasa Wewe neng'eneka tu hovyo na Wanaume Wakulale mpaka hizo...
  4. B

    Kwanini mazoezi ya timu ya Simba yako wazi sana?

    Kwa nini mazoezi ya simba yapo wazi sana kila mtu anafika na kuona tunachofanya. Why viongozi hawalioni hili?
  5. Unajutia nini katika maisha yako?

    Vipi? Katika maisha yetu ya kila siku tunapitia nyakati tofauti ambazo kwa wakati fulani tunazions sawa kufanya na kwa wakati fulani tunaona sio sawa Leo nimekaa nimekutana na rafiki yangu wa shule ya sekondary nikakumbuka matukio yangu kiukweli yalikuwa ya aibu natamani ata ningeweza...
  6. Nguvu ya majina yako

    Hivi inakuwaje mtu[ngozi nyeusi mzawa wa ujiji] unaitwa:- JOHNSON DONALD?. Yaani jina kama vile unaangia Muvi za Kimarekani!!. Yaani, mi nikukutana na mtu kwa Mara ya kwanza, majina yake yote ndiyo yataamua nimpe mkazo ama nimpotezee. COSSANI NDAVILABHONA. IDALE MADUHU. MSHAIJI KHAMISI...
  7. Maandamano Iran bado yako pale pale, wamdhamiria kuondokana na udhulumaji wa kidini

    Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo. Mayatollah wanalo..... ===================== Protesters in Iran have marched through the streets of...
  8. Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

    Habari wakuu, Life limekuwa tight mno wakati huu ila sidhani kama ni kwetu wote, ila kama unavyoona hapo kwenye kichwa cha huu uzi hebu tujuzane gharama za matumizi yetu ya kila siku. Mfano mimi ni single boy ila Approximately ya matumizi yangu kwa siku huwa haizidi 8000Tsh, hapo nimekula...
  9. Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  10. Jinsi ya kung'arisha nyota yako

    Ikiwa ni mapenzi yako katika kujaribu kwenda kung'arisha au kutakasa nyota yako kwa mnajimu yoyote yule basi kuna mambo ni muhimu na unatakiwa kuyazingatia unapokwenda huko ili uweze kupata hitaji lako. IPO HIVI: Yeyote kati yenu atakapoenda kutaka kusafishwa nyota kwa mtu yoyote yule basi...
  11. Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

    Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi kianze kipi kifate. Leo nataka nimsaidie mawazo mtu mwenye mtaji anaetaka kuanza kufanya biashara ila...
  12. Approach ya Rais Samia ya Tume ya Kuchunguza Haki Jinai haitawaacha madhalimu salama

    Wasalaam wana JF Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana. Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani. Mwenye Enzi Mungu...
  13. Unajua njia sahihi za kutunza chaji kwenye simu yako

    Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa simu janja unaweza ukawa una tumia muda wako mwingi kuangalia uwezo mkubwa wa uhifadhi kumbukumbu wa simu, kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display, processor na uwezo wa betri wa simu. Leo tuangalie za ndani ndani juu ya uwezo wa Battery la toleo la POP 7...
  14. Mbunge Luhaga Mpina ndoto yako ya kuwa mbunge maarufu Tanzania imetimia

    Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina. Amezichanga karata vizuri akatumia nafasi yake vizuri katika kipindi hichi wala hakuchagua kuketi upande wa walamba asali. Ameamua kusimama pamoja na wananchi wa Tanzania. Amezibeba kero...
  15. I

    Mwigulu jibu hoja za wabunge, PhD yako isiwe kinga ya kukwepa hoja!

    Mheshimiwa Spika Tulia Akson tafadhali chukua nafasi yako kama kiongozi wa bunge kuhakikisha serikali inajibu hoja zote za wabunge kwa ufasaha vinginevyo bunge litapoteza heshima yake. Mwigulu ajibu hoja za wabunge na siyo kuwadhalilisha eti kwa kuwa ana PhD. Hapo bungeni wapo walioishia darasa...
  16. Kwanini Mbeya maisha yako nafuu kiasi hiki ukilinganisha na sehemu zingine za nchi yetu?

    Niko Mbeya nashangaa shangaa Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/= Kitimoto kilo ni 8000/= Mchele kilo ni 2000/= Mafuta ya kupikia lita 5 ni 23,000/= Maharage kilo ni 2500/= Ndizi mkungu ni elfu 5 tu. Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu...
  17. Kwenye mahojiano yake Lissu hajaonesha ni kivipi CHADEMA itakuwa mbadala wa CCM

    Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe. Lakini yote bin yote, Lissu hajonyesha ni kwa vipi CHADEMA inaweza kufanya...
  18. J

    Leo kabla ya kujadili siasa kila mmoja ahakiki namba yake kwa kupiga *106#

    Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023. Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada. Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa. #HakikiLainaYako #2023kidijitalizaidi
  19. Z

    Ukitaka wafanyabiashara wasikuhujumu washirikishe katika Mipango yako ya Maendeleo ya kitaifa

    Wafanyabiasha ni watu mhumu katika kukuza uchumi wa taifa .lakini pia ni watu hatari wakitaka kukuhujumu kama hutawasikikiza ,kuwashirikisha mipango ya maendeleo .mfano kama Kuna matajiri Wana basi Yao harafu wewe unataka kujenga reli lazima watapambana na wewe kuona hufanikiwi kiurahisi...
  20. Kufungua biashara iliyo nje ya taaluma yako, ni upotevu wa ada kwa yule aliyekusomesha

    Wengi tunaamini kuwa, tunachokisoma mashuleni na vyuoni, ndivyo tunavyoenda kuviishi huko mtaani. Tunategemea mtu aliyesoma fani kama udaktari wa kutibu, uhandisi, uanasheria, uhasibu, ugavi, masoko n.k aende akaishi kile alichokisomea, iwe kwa kuajiriwa au kwa kujiajiri. Changamoto iliyopo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…