Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
13,449
22,759
Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.

Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.

Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.

Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini Kamwe wasizae kabla ya Ndoa.

Ukizaa kabla ya Ndoa ni Doa kubwa maishani mwako.

Jamii yote unakuona wewe ndio Mzinzi kuliko hata shetani hata kama ulifanta mara moja tu.

Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.

Yaani wewe unakuwa ni mpenzi wa waume za wengine( hawala).

Wazee waliochoka mtaani ndio wanaojitokeza kukutongoza tu maana umeshuka thamani.

Ewe Dada, Ewe Mama Mdogo. Ewe Shangazi yangu....kuwa makini na hili jambo.

Uwe na Elimu, Uwe na Pesa au na Hadhi gani epuka hili doa.

Hili doa linatesa wengi maskini, matajiri na wenye vyeo.
 
Single maza kwa upepo mwingine tena, msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Jamaa umepiga mule mule.
 
Back
Top Bottom