yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Chongolo simamisha ziara yako fanya tathmini msimdanganye Rais

    Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio feki na kumtumia DP World na Mh. Rais Samia mkimdanganya kwamba wana CCM wamekubali mkataba huo...
  2. National Anthem

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    Hallo Wakuu, Baridaaa! Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake? Binafsi; 1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani. 2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
  3. Supercomputer

    JamiiForums Tanzania Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

    Vipi wakuu; Katika harakati za maisha, wengi wetu tuna ile kasumba kutaka kuwaprove wrong ndugu jamaa na jamii inayotuzunguka kwamba wasikuchukulie poa kwa kuonyesha progress zako, bila kujua kwamba watu hawafurahii positive changes especially watu wa uswahilini. Binafsi baada ya kustruggle...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke lazima Abadili Dini na Imani Ili ifanane na yako ndipo umuoe.

    MWANAMKE LAZIMA ABADILI DINI NA IMANI ILI IFANANE NA YAKO NDIPO UMUOE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya ishara za awali Kwa Mwanamke anayekupenda na anayeweza kuwa Mkeo ni kukuamini, na kuamini Kwa kile ukifanyacho na kile unachokiamini. Kwa Mwanamke Hisia na Imani vinaenda sambamba...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania kukumbwa na mvua za El Nino

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imethibitisha kwamba nchi hiyo inatarajiwa kukumbwa na El Nino ambayo huambatana na mvua kubwa kutokana na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki katika bahari ya Pasifiki. Meneja utabiri wa Mamlaka hiyo, Dr. Mafuru Kantamla amesema ...
  6. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Heri kuishi kwenye Dari au jangwani pekee Yako kuliko kuishi na mwanamke mgomvi

    MWANAMKE HAPASWI KUWA MGOMVI Mithali 21:9, 19; "Ni afadhali kukaa ktk pembe ya darini, kuliko ktk nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi." "Ni afadhali kukaa ktk nchi ya nyika, kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi." Leo nataka tuanze mfululizo wa somo hili, lengo likiwa ni kuboresha mahusiano...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ongeza kipato chako kwa kupitia simu au PC (Personal Computer) yako

    Leo nitagusia kuhusu Sproutsgigs.Hii ni website ambayo unaweza jiingizia hela yako kwa kufanya task (kazi) utakazo kuta umepewa kwenye dashboard yako.Lakini pia unaweza toa kazi kwa mtu akakufanyia kwa niaba yako kwa malipo mtakayo kubaliana. Nimejiunga Sproutsgigs mwezi mmoja nyuma na...
  8. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Kisa gani ulikumbana nacho kwenye safari yako ya mapenzi

    nilikua nikieperuzi peruzi humu nikana kuna mtu anatafuta mume mtu mzima akanikumbusha mbali sana kwenye moja wapo ya kisa nilichokutana nacho, ilikua hivi nilitokea kupata danga la kizee, ni mtu mzima mno maana si mama yangu wala baba yangu anamfikia sasa nikawa namuita babu, huyu babu niseme...
  9. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Hivi umefanikiwa kusamehe kila jambo linalokutokea au lililokutokea kwenye maisha yako?

    Haya maisha haya, unakutana na mambo mengi sana ya kukuumiza moyo na kukufurahisha yes dunia imeumbwa hivyo. je wewe umeweza kusamehe kila jambo lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako? mimi nimeshindwa, kuna watu bwana nilikua nao very close, katika maisha yetu mimi ndie nilikua...
  10. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa mzazi ni kukulea, na kukusomesha mengine ni yako

    Kijana, shtuka! Apaswayo kuyafanya mzazi wako anapokuzaa ni mambo mawili pekee, nayo ni; kukulea ( ki-maadili), kuhakikisha unapata chakula ( kwa umri komo) na kuhakikisha unapata elimu ( kama una akili hiyo). Vinginevyo, mali za baba yako siyo zako. Na, anaweza kutokukupa urithi akiamua na...
  11. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

    Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu. Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta...
  12. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Ikiwa umekasirishwa sana huwa unafanya nini kupunguza hasira yako?

    Wakuu kwema, Kama mada inavyojieleza, huwa unafanya nini kupunguza hasira yako ikitokea umekasirishwa sana ili usilete madhara kwako na kwa uliyemkasirikia? Maana waliosema hasira hasara hawakukosea, mtu akiwa hasira anaweza kufanya chochote na kujuta baadae kwa kitendo alichofanya. Mimi...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wana tabia nyeusi, akiwa jirani yako unatamani kuhama umpishe

    Kuna mtu kahamia jirani nyumba ya pili, ana wiki ya 3 tu tangu ahamie ila nishajutia ujio wake kwa tabia zake, sijui katoka wapi huyu mtu jamani natamani hata kuhama nimpishe maana kumhamisha siwezi. Ana tabia nyeusi sana, hata sijui niziitaje maana anaongea lugha ya matusi sijapa kuona huyu...
  14. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kuna umri ukifika kukaa kwa ndugu mwenye familia si uungwana hata kama ni kaka au dada, mpishe tafuta shughuli uende kwako!

    Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe, Haya ni mambo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, bado unarekodi taarifa za biashara yako kwenye daftari?

    Habari wana Jamii Forum, Je, bado unarekodi taarifa za biashara kwenye daftari? Mimi ni freelance Book-Keeper mwenye uzoefu wa Zaidi ya miaka 5 na mhitimu wa Chuo cha Ifm kwa degree ya Accounting. Ni binti mchapakazi na ninaethamini kazi za watu wengine. Natoa huduma zifuatazo kwa biashara...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari kesho 14/07/23

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam. Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

    Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Pengine Unamsikia tu Shetani Juujuu. Humfahamu vizuri na unasema ni adui yako

    Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
  19. Hold on

    JamiiForums Tanzania Sababu ipi imekufanya ufunge PM yako au usifunge PM yako?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi sijafunga kwasababu sion sababu ya kuifunga nikipata sababu nitafunga
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siku binti yako akisoma nyuzi na maoni yako atafurahi au atasikitika?

    Habari Waheshimiwa! Najua kuna watu hamjawahi kuitwa Waheshimiwa, ngoja niwatoe lock na ninyi muonjeonje kidogo majina ya heshima. Mimi mara ya kwanza kuitwa Mheshimiwa ni siku nimeenda kutoa posa huko madongo kuinama, niliazima VX ya kijivu, nikaiweka bendera ya Tanzania upande wa mbele, kisha...
Back
Top Bottom