Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 773
- 1,708
Inafika wakati biashara inakatisha tamaa, kuna hawa wateja wanao penda kupunguziwa kila kitu asee wanakera. mtu anakuja dukani anaulizia karibu kila bidhaa ukimtajia bei utasikia……..,
Duh! We unabei sana!
Mbona wenzako wanauza bei nafuu!
Punguza bei nimekuja kukuchangia!
Tuuzie kama unauza sio utuuzie kama hutaki kuuza bhana!!
Mmm, ngoja nikanunue sehemu fulan we hutaki kuuza.
wengine wanakulilia hadi unaona sasa huu mtihani yan kiasi kwamba usipopunguza akitoka pale anakuchukia!
Kuna wakati nashusha bei sana ili niuze tuu hata nipate faida kidogo niagize mzigo mwingine unakuta still mteja anataka upunguze zaidi na ela yake anaweka mezani kabisa, ukikataa anatoka na hasira, Kuna wateja wa jumla nilowahi kuwakazia kuwauzia bei ya hasara naona sikuzi wanafunga mizigo kwa watu wengine ila nilipochunguza nakuta wanauziwa bei sawa na yangu sa nachojiuliza kwa nini mimi nikitaja bei wanaona sio sawa ila wakienda kwa wengine kua iyo ndo bei wananunua!!
sasa ndugu zangu nisaidieni mbinu mnazotumia kudeal na wateja wapenda discount na wapenda kujipangia bei kwenye biashara za watu.