yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania INTERNET SPEED: Tuone internet speed Yako ya leo

    Aya wakuu, weka picha tuone speed Yako ya internet Leo Tumia FAST kujua speed ya internet inayotumia Mimi naanza👇🏿
  2. S

    JamiiForums Tanzania CPA Habibu Suluo LATRA Mkoa wa Arusha wako juu yako? Daladala za Kikatiti na King'ori zinageuzia Maji ya Chai

    Mkurugenzi mkuu wa LATRA unataka tutumie lugha ipi ili uelewe kuwa abiria tunaosafiri kutoka Arusha mjini kwenda Kikatiti ja King'ori tunashushwa Maji ya Chai wakati magari yana vibao vimeandikwa Kikatiti na mengine King'ori. Mnasubiri mpaka wananchi wajichukulie sheria mkononi? Tumechoka na huu...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba yako anaweza kukuvumilia miezi mingapi bila kumlipa kodi yake?

    Maisha yenyewe ya sasa ukijichanganya ukaishi maisha fake ya kuigiza lazima u collapse tu kuna mpangaji mwenzangu single mother aliforce kumpeleka mtoto shule hizi za mamilion sasa hata baba mtoto amegoma kulipa ada mambo magumu Leo hii kafikisha miezi Sita anadaiwa tu kodi ila baba mwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji ajira kwenye international companies zinazolipa vizuri, tunza afya yako kuliko chochote

    Utapita kwenye interview stage zaidi ya 4 na utapewa offer, Kisha utaikubali, baada yahapo utapelekwa kwenye vipimo vya afya Yako ikiwa ni pamoja na x-rays ya kifua, mgongo, watakupima HIV, sukari, pressure, pamoja na homa ya inni na magonjwa mengine kibao. Aisee tutunze afya zetu.
  5. JamiiForums Tanzania Ipi ni soundtrack yako kali kwenye movie au series ulizowahi kuangalia?

    ....
  6. JamiiForums Tanzania Kazi ambazo ni rahisi kukuingiza kwenye laana wewe na familia yako kama hutokuwa makini

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kazi ni shughuli yoyote halali inayokuingizia kipato. Shughuli hiyo lazima izingatie haki za wengine yaani kutodhulumu au kuharibu haki za wengine. Hiyo ndio huitwa kazi. Sio uuze madawa ya kulevya au uwe mwizi au fisadi au kahaba uiite hiyo ndio kazi. Hakuna...
  7. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukosea muamala wa kiasi gani kwenye simu yako?

    Habari za jioni wana JF.. Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima.? Kwa upande wangu, nilishawahi kukosea kutuma kiasi cha elfu themanini ila kwa bahati nzuri ile...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye phonebook yako kuna marehemu wangapi?

    Kuna watu ni wavivu kufutaga contact za marehemu mpaka sasa wako nazo wengine tunasave majina kwenye Gmail ukiingiza kwenye simu mpya yana jirestore.Mimi nina marehemu Watano majina yao nimeamua tu niyaache. Imma, yuni, mamkubwa, elia na fundi Tandika.
  9. JamiiForums Tanzania Simon Msuva basi hata kama uliamua Kumpigia pande huyo Shemeji yako Mzungu Taifa Stars, mbona ana Kiwango kibovu hivyo?

    Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu Tanzania ni sawa tu na Ndondo Cup ile ya Shaffih Dauda. Kwahiyo Simon Msuva ( Shemeji Mtu ) na TFF...
  10. JamiiForums Tanzania Tanesko :Tunayaangaza Maisha yako . Thread maalumu ya kero za huyu bwana

    Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe .. Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills . Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni ipi? What so special about twiga Mpaka awepo kwenye Shirika tata lenye majukumu Ya kizalendo na...
  11. JamiiForums Tanzania TBT: Ulipokea matokeo yako ya Form Four ukiwa wapi, na ilikuwaje?

    Mimi ilikuwa mwaka 20__. Nilikuwa zangu nyumbani nimetulia naperuzi tu. Ila nilifurahi sana. Yako yalikukutia wapi, na ilikuwaje?
  12. JamiiForums Tanzania Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

    Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke. Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya wanawake. Mpaka leo sijaoa, sijaoa kwa sababu sijaona sababu ya kufanya hivyo kwanza. Naona ndoa...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kubwa jinga ila kitandani yako Vizuri sana, nifanyaje?

    Hivi ushawahi kuwa na mpenzi kubwa jinga akili haimo kichwani? Lakini kitandani yuko vizuri balaa? Niambie uliendelea nae kimahusiano au ulimbwaga?
  14. JamiiForums Tanzania Zingatia haya kulinda afya yako ya mwili

    Kumekuwa na malalamiko humu ndani watu wanapoleta matatizo yao ya kimwili na baadhi ya watu kuanza kuleta mizaha. Mjadala wangu leo umebase sana kwenye magonjwa yasiyoambukiza kisukari, pressure, Kansa and the likes. Wakati tunakua huko kijijini hayo magonjwa walikuwa wanasema ni magonjwa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Epuka jambo hili kama gari yako imeibiwa masega(Catalytic converter)

    Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR. EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa ajili ya kupunguza joto(combustion temperature) hivyo kupunguza pia kutengenezwa kwa Nitrogen Oxide...
  16. JamiiForums Tanzania Fr. Kitima na TEC mnalijua hili? Msaidieni huyu binti apate haki yake

    "Mdogo wangu anaitwa Teresia Rubeni Mrimi. Ana cheti chake Cha kidato Cha nne kinachoshikiliwa katika Shule aliyosomea iitwayo Mother Theresa of Calcutta Secondary School nayomilikiwa na Kanisa Catholic Jimbo la Same. Mwaka 2014 Fr. (Padre) Emmanuel Yatera alimtembelea Fr. Valentino Luvara...
  17. JamiiForums Tanzania Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?

    Kwenye ulimwengu wa sasa kuna kipindi unachukua namba ya mtu na unashindwa kumsave kwa jina lake, sometimes husababishwa na majina kufanana au kutomfahamu vizuri aliekupa namba. Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?
  18. JamiiForums Tanzania Kuteuliwa kwa Dkt. Nchimbi: Rais Samia sasa kunywa chai yako kwa raha zako

    Kuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje. Mtu mwenye tamaa ya kuiona Tanzania inaendelea kung'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, mtu ambaye...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka mtaji wa biashara yako uliupata wapi?

    Hellow lovers, Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi? Ilikuaje? Tuambie tujifunze.
  20. JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…