yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Tungo: Hatoki karibu yako pindi ukiwa na hela

    Hatoki karb yako, pale ukiwa na hela. Ataacha chokochoko, penzi lote utapewa. Hata ukiwa mnoko, sifa tele wamwagiwa. Utapata madikodiko, na mapenzi utalewa. mke atakuelewa pindi ukiwa na hela. Utaliona sokomoko, pindi ukiishiwa. Tena utakua kituko, na talaka utapewa. Utaitwa mbwa Koko, au...
  2. Kabla hujaisema serikali kushindwa jiangalie wewe mwenyewe umeweza kuongoza Familia yako

    Habari za Mwaka Mpya Wakuu! Kuna Watu ni wepesi sana kutoa vibanzi katika macho ya wenzao ilhali wao wako na boriti. Serikali imeshindwa! Rais gani huyo! Viongozi wa nchi hii ni wajinga sana! Maneno ni mengi. Sawa. Ni haki yao. Lakini Haki inapotea pale ambapo mtu hastahili kukosoa kile...
  3. SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  4. Dada kama jamaa yako anapiga deki 2024, basi mshikirie sana

    Kila nikijaribu kuzama nashindwa kabisa, nimejaribu sana lakini nikifika karibu kuanza kuna kitu kinaniambia " acha uboya wewe". Dada ukipata mwamba wa aina hiyo mfunge kabisa kamba.
  5. Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

    • Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji...
  6. D

    Ufanye nini gari yako inapofeli breki?

    1) Ondoa mguu wako kwenye accelerator na Washa taa za dharura (hazard lights) 2) Pump (kwa kukanyaga na kuachia) pedal ya breki kwa haraka haraka 3) kama ulikuwa kwenye gia kubwa ipeleke haraka kwenye gia ndogo (lower gear). (Kama gari Yako ni automatic, toa gia kwenye D uipeleke kwenye S au...
  7. R

    Hongera Rais Samia kwa hotuba fupi inayotoa mwanga kuhusu maono ya serikali yako kwa mwaka, 2024

    Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi. Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa...
  8. Kama wewe ni mpambanaji na ambitious mambo kama UTT, Bonds na Savings Accounts sio type yako, waachie waoga na watumishi

    Naongea sana mambo yasio serious humu jukwaani ila ngoja nifunge mwaka kwa kuongea sense kdg. Kuna nyuzi humu zinaongelea mambo ya UTT na Bonds, niwaambie ukweli haya mambo ili ikulipe kwa zile monthly returns ni lazima kwanza uweke hela kubwa sana, more than 500m, na incase ukiweka 1 billion...
  9. Timiza malengo yako ya kibiashara 2024

    Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo; 1. Kusajili Kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and article of...
  10. Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

    Habari wana Jukwaa La Michezo, Mwaka 2023 unakata huu, Tumetoka Mbali ulikua Mwaka wa Matukio Mengii ila Leo Naomba niwaalike wote hapa kukumbushana Ni Mchezo gani Kutoka kwa Team yako pendwa ya Ligi kuu ya NBC hutausahau. Ulikukosha ukakupa Raha. Ukafurahi ukaona Maisha ya Bongo ni kama ya...
  11. Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

    Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
  12. Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

    1. Ukipata mpenzi mnaependana sana. 2. Ukipata mtoto wako wa kwanza. 3. Ukifunga ndoa. 4. Ukinunua gari lako la kwanza. 5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa) 6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga 7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya...
  13. Mwaka 2024 usiache mtu mwingine aendeshe maisha yako

    Maisha yetu wakati mwingine hukabiliwa na mikwamo mingi sana inayotokana na kuwaachia watu wengine kuendesha maisha yetu. Mwaka 2024 uwe ni mwaka wa kukataa watu wengine kuendesha maisha yetu. Kama unataka kumuomba Mungu juu ya Maisha yako, omba mwenyewe Achana na kubebeshwa vitu na...
  14. Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

    CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko. Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi...
  15. Unabana matumizi yako Kifedha wakati wa Sikukuu hizi au tukuache na mambo yako?

    Wakuu, pamoja na kuwa kila mtu na maisha yake na life style yake lakini ni vema kukumbushana kuwa na tahadhari kwenye matumizi ya Fedha. Bila hivyo kuna mambo yataparangana Januari au hata miezi mitatu ya mwanzo mwaka 2024. Tule bata ila kwa mipango
  16. S

    "Uchumi wa kati" hapa mjini. Akina dada ni wewe na akili yako tu

    Dada unatembea na kitega uchumi, halafu unalalamika maisha magumu ? Unakwama wapi? Ili kuyakabili maisha na kuwa na uchumi wa kati jirembe, jibebishe na uwe mtu wa kukaa maeneo ya mawindo. Anyway. Kuna mwenzenu siku kama ya leo ametengeneza 1M. Asubuhi aliitwa na mshefa wakutane sehemu...
  17. Hongera sana Jerry Silaa. Naona mwanzo wa nchi yetu yote kupimwa na kupangwa chini yako

    Kama kuna jambo linalonifanya kila siku niseme inawezekana nchi yetu tulilaaniwa ni namna ambavyo nchi yetu imejengwa vibaya bila mpangilio. Yaani namna watu wanavyojijengea hovyo hovyo tu bila mpangilio na kupangwa. Kila siku tumekuwa tukiandika humu na kusema humu huku titicaca Serikali...
  18. U

    Kwa taarifa yako Israel limetajwa mara 2200 ndani ya Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja

    Wadau hamjamboni nyote Niende kwenye hoja moja Kwa moja Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu? Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani...
  19. Maisha Yako ya sasa ni Matokeo ya family background yako

    Wazazi wanaimpact kubwaa sana katika future ya watoto ukizaliwa katika family isio jali future ya watoto automatically upo kwenye risky ya kuongia kwenye chain ya umaskin. Once ukishaingia kwenye cycle ya umaskin kuchomoka ni ngumuh Sana. Wazaz wengi WA kiafrika WAnazaa watoto kutafuta sifa...
  20. Ongeza haya mambo 6 kwenye mikakati yako ya kuukabili 2024 kifedha na kimaendeleo

    1: Matajiri ni matajiri sio kwa sababu wanafedha. Matajiri wanafedha kwa sababu ni matajiri. Namaanisha nini? Wekeza kujenga uwezo wako pesa ni matokeo ya mindset za kitajiri. Na moja ya mindest ni kuamini kila pesa unayoipata hauipati ili uitumbue unaipata ili ilete pesa nyingine. 2: Boresha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…