wote

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wote wanaoandaa chakula, hasa kachumbari wanatakiwa kuvaa gloves

    Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari. Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu. Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid...
  2. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Nigeria wataja ngoma 100 bora za muda wote Tanzania. Diamond, Gigy Money wamo

    Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake. Kwenye article yao wameitaja ngoma ya Diamond My Number One kuwa ndio ngoma namba bora na iliyoleta impact zaidi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumuita mtu aliyeudakia tu uongozi Mama wa Taifa ni kutudharau Watanzania wenye akili kubwa

    Halafu mnavyozidi Kumchoresha bila kujua ni hapa mnapomfananisha Kimafanikio na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere huku mkijua hana hata Miaka Minne (4) Uongozini wakati aliyeitwa Baba wa Taifa alikaa Miaka 23 Uongozini na Kuutengenezea Heshima Kubwa Kimataifa Tanzania yetu hii. Mama wa Taifa...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Watembea kwa miguu wanagongwa sana na bodaboda Mbagala Rangitatu na Zakhiem Dar es salaam, hali ni tete. Polisi wa usalama barabarani tusaidieni

    Ninaliomba jeshi la polisi usalama barabarani Dar es Salaam ikiwezekana wote mpige kambi kwa siku mbili eneo la Mbagala ili mdhibiti hili kundi la bodaboda wahalifu, ninaposema wote najua bodaboda ni wajeuri hawazuiliki. Tatizo ni nini, tatizo lililopo ni uhalifu unaotokana na madereva wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TCRA watakagua simu za Watanzania wote kuwajua wanaotumia VPN?

    Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha . Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi. Msaada wa kitalaamu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

    Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India. Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtawaficha wote ila siyo GENTAMYCINE, haya Tangazeni upesi kuwa na Kipa wenu Mnata mmemuadhibu kama mlivyomuadhibu Mkude

    Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika Kikosi chake na hatimaye Uongozi kuamua Kuwaadhibu ndani kwa ndani. Na taarifa ya uhakika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania ONYO kwa akina dada wote kuhusu huduma ya kukuza makalio itakayoanza kutolewa Mloganzila

    Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu? Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama...
  9. BigBaba

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Ayam Cameni ni kuku Weusi mpaka nyama na kiini cha Yai?

    1. Hao kuku wanaitwa Ayam Cameni , Ni Weusi kwa kila kitu mpaka nyama na kiini cha Yai, 2. Waligunduliwa nchini Indonesia Karne ya 17 na bado hawapatikani nchi nyingi Hadi sasa 3. Nchini Marekani waliingia mwaka 1998 na Yai moja la kuku Hawa nchini marekani linauzwa dola $130 Karibia Shilingi...
  10. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ndio bora wa wakati wote hapa Tanzania. Wabongo wanataka kumshusha

    Wote tunajua kwenye mchezo wa boxing hajawai kutokea bondia mwenye uwezo wa kupigana ngumi hapa bongo kama Mwakinyo. Dunia nzima inajua Hassan ndio alama ya boxing hapa Tanzania. Ndio biashara kubwa ya ngumi East Africa ukitaka kufanya biashara ya ngumi na upate hela isiyo na longolongo basi...
  11. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Movies 50 kali za kivita za muda wote

    Top 50 war movies. 1. Saving Private Ryan (1998) 2. Apocalypse Now (1979) 3. Full Metal Jacket (1987) 4. Platoon (1986) 5. Black Hawk Down (2001) 6. Das Boot (1981) 7. The Thin Red Line (1998) 8. Paths of Glory (1957) 9. Hacksaw Ridge (2016) 10. 1917 (2019) 11. Dunkirk (2017) 12. Patton...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Story ya Maisha ya MwanaFA akihojiwa na Salama Jabir Isomwe na Single Mother wote na waoaji wa ma single mothers.

    MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake. Tafadhari mwenye video full ya mahojiano aiweke hapa watu waone na wapate hisia za maisha yake. Kisa Kiko hivi...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums anayehoji kwanini Rais wa Tanzania akiwa ni Mkristo lazima awe ni Mkatoliki anatuaibisha 'Lake Zone Geniuses' wote

    Hili linajulikana tokea nchi hii inapata Uhuru na lipo katika Makubaliano ya Siri yenye Kiapo Kikali tena chenye Laana Kubwa kama likikiukwa / kikikiukwa ( ukibisha hili Huna Akili ) Inasikitisha sana na GENTAMYCINE nimesikitika kumuona Mtu ambaye amezaliwa katika Familia ya Mfumo ( System ) na...
  14. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Mnyama Mwenye Wivu kuliko wote Duniani

    Nyegere Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo. Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

    Hutaki unaacha , lakini huu ndio ukweli halisi , Nikiwa ka Mtanzania kwenye kundi hili Yanga havuki , hapo ndio Mwisho . Pichani : ni mtoto mdogo akiizomea Yanga ilipofungwa na Ihefu
  16. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

    Breaking bad 9.5 Game of thrones 9.4 Hizi ni kwa mujibu wa rate za IMDB je wew kama mdau ipi kwako ni kalii sana
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu vituo vya kulelea watoto: samaki mmoja akioza si wote wameoza!

    Nimeamua kuuleta huu uzi kutokana na mada kadhaa nilizoziona humu JF zinazoongelea vituo vya watoto yatima kwa mtazamo hasi. Baadhi ya watu wametamani hata hivyo vituo visipewe misaada au vifutwe kabisa. Uzi ulionichochea hasa ni wa Bexb alioutoa 04/10/2023 wenye kichwa, NIFAHAMISHE KITUO CHA...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

    Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu. Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha, basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Tukuyu: Mgao wa maji unahusu watu wote, hadi nyumbani kwa Spika Tulia na kwa DC napo kuna mgao

    Baada ya kuibuka kwa malalamiko ya uhaba wa maji Mjini Tukuyu, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, ikidaiwa kuwa kuna upendeleo katika mgawo wa maji, Mamlaka ya Maji ya Tukuyu imefafanua sababu ya mgao wa maji na kuweka wazi kuwa hakuna upendeleo katika mchakato huo. Malalamiko haya hapa - Tukuyu...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mrembo aliyependeza leo kuliko wote humu ndani, njoo tutoke wote pamoja

    Nipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake. Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo; mrembo yeyote anayejiamini na kujiona amependeza kuliko wote, namkaribisha hapa meza kuu. Nawatakia...
Back
Top Bottom