wote

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, ataweza kufanya kazi kweli? Aliyeajiriwa ameanza na Tgs C huku yeye akiwa na Tgs B. Na wote wanadiploma

    Umeme umekatika na baada ya mshahara kuingia ameniamsha na kuanza kuwaza tu Mbona ajira mpya wanashahara mkubwa kuliko yeye?
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Moses Phiri ametushukuru wale Wote tuliompambania hadi sasa ameanza kupata Namba Kikosini na Kufunga pia

    Yaani kabisa GENTAMYCINE na wana Simba SC Wengine akina rodrick alexander na SAGAI GALGANO tukupiganie halafu Usisikike na Usifanikiwe au Usilishinde tatizo lako linalokukabili? Sasa Phiri anacheza nina Furaha mno kwani ndiyo Mshambuliaji wangu bora kuliko Wote Kikosini Simba SC.
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa: Kwanini karibia Viongozi wote huibukia huko?

    Hivi hii hutokea tu kwamba kila matukio yakitokea basi Watawala wengi hupotea na kuibikia huko Kanda ya Ziwa Mikoa ya Kagera au Mara na Mwanza, huwa matukio yanawakutia huko kwamba imetokea tu wakawa huko mipakani au kuna mengineyo? Hata Tundu Lisu hatujui yuko wapi sasa hivi binafsi...
  4. gstar

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote waliotufikisha kwenye mtanziko huu Watengwe na Kanisa?

    Sauti ya watu ni sauti ya Mungu, "Vox populi vox Dei." Nimefurahishwa na tamko la Maaskofu wa kanisa Katoliki juu ya mtanziko huu ulio tupata juu ya kusainiwa kwa makubaliano ya uendeshaji wa bandari kupitia kampuni ya DP-World yaliyotuletea wasiwasi mkubwa juu ya mustakabali wa Taifa letu...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Samia ni Rais wa Watanzania Wote Tunamuhukumu kwa matendo na siyo Dini yake

    Kwa ufupi kabisa sakata la DPW ni ukiukwaji wa wazi wa sheria na katiba ya nchi yetu. Ndiyo maana hata wanaopinga wanataja vifungu vya sheria ambavyo vimekiukwa. Sasa wale wenzetu wa upande wa pili sisikii wakitaja vifungu chochote cha sheria kuutetea mkataba kwamba ni halali bali na kuongea...
  6. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

    Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar. Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania...
  7. H

    JamiiForums Tanzania " La T.E.C. sio Tamko la Bandari, ni waraka wa Bandari kwa Watanzania wote" au (barua ya kichungaji kwa watanzania.)

    Tusichanganye dini na siasa, au viongozi wa dini ingieni kwenye siasa, imekuwa silaha kubwa kwa wanasiasa wezi, mafisadi, majambazi, wabadhirifu wa mali za umma, kuwazuia viongozi wa dini kufanya kazi yao ya kufundisha kuonya, na kukemea maovu katika jamii. hata wakati mambo yanakwenda vibaya...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania 93.6% ya Watanzania wote walizaliwa baada ya Muungano

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar. Muungano huu ulioasisiwa na viongozi wakuu wa nchi hizo ambao ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa Rais wa kwanza Tanganyika na Sheikh Abeid Aman Karume aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar na...
  9. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

    Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wachina waenzi na kuendeleza moyo wa “Baba wa Mpunga Chotara” wa kuwanufaisha watu wote duniani kwa chakula

    Kilimo ni uti wa mgongo wa maisha na pia ni sehemu muhimu sana hasa katika jamii yetu ya kisasa, ambapo kinaathiri chakula tunachokula, ardhi tunayoishi, na mambo mengine mengi ya jamii yetu. Mamilioni ya watu wanaweza kujikwamua na umaskini duniani endapo watawekeza kwenye sekta ya kilimo...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Max Nzengeli anaweza kuwa mchezaji mkongwe kuliko wote ligi ya NBC 2023-24

    Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23. Kuna watu baada ya game...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, Serikali itagombana sana na Watanzania kwa Mkataba mbovu wa Bandari

    Hawa ndo wanyakyusa katika ubora wao hawapendangi ujinga. Hizi nyimbo unaweza kuzibeza lakini kuna la kujifunza hapa kama wenye mamlaka wana akili. .
  13. A

    JamiiForums Tanzania Huduma ya "Afya kwa Wote" ilivyo kitanzi haki ya mtoto

    MALENGO ya Maendeleo Endelevu 2030 (SDGs), hususan lengo la tatu ni kuhakikisha uwapo wa Afya Bora na Ustawi. Umoja wa Mataifa (UN), unahimiza uwekezaji kwenye huduma za afya. Ajenda ya Shirika la Afya Duniani (WHO), mwaka 2018 katika maadhimisho ya Siku ya Afya Duniani, yalilenga kuhamasisha...
  14. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Simu yangu imekuwa mfariji na kipenzi changu muda wote

    Hiki kifaa kimenifanya kuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu ya kila siku. Kwa ufupi kimeweza teka hisia zangu kuliko hata mwanamke. Kimechukua muda wangu mwingi kwenye maisha yangu ya kila siku. Simu imekuwa ikiniamsha niwahi kazini. Simu imekuwa ikinipa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

    Ndugu zangu Watanzania, Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta machafuko na mpasuko nchini. Japo naona ni kama hatua zinazoanza kuchukuliwa kwa sasa zilichelewa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wakili Mwambukusi na wote Wapinga Mkataba wa Bandari. "Maliza moja kabla ya kuanza jingine"

    Asalam, Nilifuatilia sana suala la kesi iliyofunguliwa na hawa mawakili. Nikafuatilia hukumu na baada ya hukumu nikajipa muda kufuatilia mitazamo, uelewa, na mipango ya wafungua kesi. Huu ndio ushauri wangu. 1. Zamani sio kama sasa, hasa kwa taifa lililopevuka kama Tanzania, TUHESHIMU TAASISI...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tuchukue tahadhali ya moto, ona mji ulivyoungua wote huko Hawaii

    The weather has been very dry in Hawaii recently withisolated wildfires breaking out. However, it was the passage of aseemingly benign "fish hurricane" in the eastern Pacific which escalated thesituation. Fish hurricane is a term meteorologists use to describestorms that are in open oceans...
  18. malisak

    JamiiForums Tanzania Heko wana uzi wote mnaojitolea mafunzo ya kilimo yamenipa tija

    Wadau mwezi huu mwishoni Mungu akipenda navuna nyanya shambani kwangu Nimejaaliwa kulima heka 3 na zimebeba vizuri. Shamba lipo morogoro eneo la Dakawa. Ninachojivunai zaidi nimejifunzia humu humu Jamii forum kilimo hiki. Heko kwa wote ambao mmekuwa mskijitolea kutoa mafunzo mbali mbali...
  19. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake/wasichana wote hapa JF

    Good evening, Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? Namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Goma la kuombea msamaha kwa wale wote mliocheat babe zenu, hili hapa

    Kwa wale wote ambao mapenzi yao yapo ICU baada ya kucheat baby zenu. Goma la kueleweka la kuombea msahama kwa babe zenu hili hapa la mtu mzima Rick Ross ft Chris Brown- Sorry Rick Ross"Sorry" (with Chris Brown) (May-May-May) What is this? (May-May-May) Maybach Music I like this Maybach...
Back
Top Bottom