Kitendo cha Uhuni cha UVCCM Chato kinapaswa kulaaniwa na watu wote wanaoitakia mema nchi yetu

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Sielewi kwa nini hadi sasa jeshi la polisi halijachukua hatua zozote zile kuhusiana na kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, na sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea.

Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani kina Cheyo, wako kimya.

Imagine tamko hili lingekuwa limetolewa na BAVICHA saa hii Msajili wa Vyama angekuwa amewaandikia CHADEMA wajieleze kwa nini Bavicha isifutwe.

Tunajenga jamii ya kibaguzi inayohukumu vitendo vya kiharifu kwa kuangalia itikadi, hali hii isipokemewa inaweza kuleta mpasuko mkubwa siku za usoni, na watakao sababisha sio vijana bali ni viongozi na wazee wanaofumbia macho, na pindi wanapokemea wanakemea kwa kuangalia nani kasema.

Tusifikiri vikundi vya waasi vinatokeaga hewani ni kulea vikundi kama hivi ndani ya vyama vilivyosajiliwa kihalali.

Pia soma: UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote
 
Yawezekana isiwe CCM bali ni watu binafsi tu ambao bado wana maumivu ya jinsi yule kijana wao wa Chato alivyokuwa akitukanwa na kudhalilishwa ambao leo wadhalilishaji wake wanamkumbuka na wanataka kwenda kaburini kwake.

Mbona Mwanza na Kagera shida haikutokea? Kwa nini CHATO tu?

Mimi naamini kuwa hawa ni vijana/watu tu wa kawaida waliompenda sana kijana wao wa kukaya. Busara itumike katika hili na viongozi wa CCM wajitokeze hadharani wakemee.
 
Sielewi kwa nini hadi sasa IGP hajatoa tamko la kukemea kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea.

Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani kina Cheyo, wako kimya.

Imagine tamko hili lingekuwa limetolewa na BAVICHA saa hii Msajili wa Vyama angekuwa amewaandikia CHADEMA wajieleze kwa nini Bavicha isifutwe.

Tunajenga jamii ya kibaguzi ambayo inayohukumu kibaguzi, inaweza kuleta mpasuko mkubwa siku za usoni, na watakao sababisha sio vijana bali ni viongozi na wazee wanaofumbia macho vitendo kama hivi na pindi wanapokemea wanakemea kwa kuangalia nani kasema.

Pia soma: UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote
Wakishindwa hoja wanafanya uhuni,ccm mkutano moja una cost pesa nyingi Sana za walipa kodi bila 30k,usafiri wa kwenda na kurudi upati mtu.

Wakiangalia chadema watu wanakuja wenyewe na pesa wanachangia inawauma Sana.
 
Yawezekana isiwe CCM bali ni watu binafsi tu ambao bado wana maumivu ya jinsi yule kijana wao wa Chato alivyokuwa akitukanwa na kudhalilishwa ambao leo wadhalilishaji wake wanamkumbuka na wanataka kwenda kaburini kwake.

Mbona Mwanza na Kagera shida haikutokea? Kwa nini CHATO tu?

Mimi naamini kuwa hawa ni vijana/watu tu wa kawaida waliompenda sana kijana wao wa kukaya. Busara itumike katika hili na viongozi wa CCM wajitokeze hadharani wakemee.
Watu binafsi? ni viongozi wa Uvccm mbona wametaja kabisa na vyeo vyao na majina yao na sura zao.
 
Kama ni hivyo basi ni tatizo kubwa. Viongozi wao wakemee mara moja na wahusika wachukuliwe hatua za kisheria mara moja vinginevyo tunachezea kiberiti karibu na matenki ya petroli!
 
Hiyo michezo chadema huwa wanajifanyiaga wao wenyewe ili kutengeneza attention
 
Hao vijana unaowaongelea ni nyani tu, halafu huyo IGP na Msajili ni ngedere.
 
Hawa vijana ni wapuuzi na wadogo sana kichama hawana jeuri ya kutoa misimamo bila wakubwa wao wa juu. Ndugu lissu angeachana na mpango wa kuzuru kaburi hilo kama wenye kaburi ndio hao na hawataki.
 
Sielewi kwa nini hadi sasa IGP hajatoa tamko la kukemea kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea.

Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani kina Cheyo, wako kimya.

Imagine tamko hili lingekuwa limetolewa na BAVICHA saa hii Msajili wa Vyama angekuwa amewaandikia CHADEMA wajieleze kwa nini Bavicha isifutwe.

Tunajenga jamii ya kibaguzi inayohukumu vitendo vya kiharifu kwa kuangalia itikadi, hali hii isipokemewa inaweza kuleta mpasuko mkubwa siku za usoni, na watakao sababisha sio vijana bali ni viongozi na wazee wanaofumbia macho, na pindi wanapokemea wanakemea kwa kuangalia nani kasema.

Pia soma: UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote
Kwa akili kama hizi 👇👇👇 unategemea nn hapo!!
 
Attachments

  • IMG_20220330_194603.jpg
    IMG_20220330_194603.jpg
    53.6 KB · Views: 2
Ndugu zangu! Naomba mtambue hili kuwa! Kwa Tanzania uongozi hauna uwezo yaani kama ungekuwa mwanaume tungesema ni impotent

Haikuwa haja ya kukemea bqli kuchukua hatua kali! Haya yanaonesha the whole system is Compromised
 
Hawa vijana ni na wadogo sana kichama hawana jeuri ya kutoa misimamo bila wakubwa wao wa juu. Ndugu lissu angeachana na mpango wa kuzuru kaburi hilo kama wenye kaburi ndio hao na hawataki.
Naunga mkono hoja Lissu aachane na hilo kaburi kwanza halina mpango wowote.
 
Sielewi kwa nini hadi sasa IGP hajatoa tamko la kukemea kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea.

Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani kina Cheyo, wako kimya.

Imagine tamko hili lingekuwa limetolewa na BAVICHA saa hii Msajili wa Vyama angekuwa amewaandikia CHADEMA wajieleze kwa nini Bavicha isifutwe.

Tunajenga jamii ya kibaguzi inayohukumu vitendo vya kiharifu kwa kuangalia itikadi, hali hii isipokemewa inaweza kuleta mpasuko mkubwa siku za usoni, na watakao sababisha sio vijana bali ni viongozi na wazee wanaofumbia macho, na pindi wanapokemea wanakemea kwa kuangalia nani kasema.

Pia soma: UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote
Tunaendele kumkumbusha IGP akiendelea kuwachekea hawa uvccm na genge lao ipo siku watatuletea maafa kama yale ya Rwanda.
 
Sielewi kwa nini hadi sasa IGP hajatoa tamko la kukemea kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea.

Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani kina Cheyo, wako kimya.

Imagine tamko hili lingekuwa limetolewa na BAVICHA saa hii Msajili wa Vyama angekuwa amewaandikia CHADEMA wajieleze kwa nini Bavicha isifutwe.

Tunajenga jamii ya kibaguzi inayohukumu vitendo vya kiharifu kwa kuangalia itikadi, hali hii isipokemewa inaweza kuleta mpasuko mkubwa siku za usoni, na watakao sababisha sio vijana bali ni viongozi na wazee wanaofumbia macho, na pindi wanapokemea wanakemea kwa kuangalia nani kasema.

Pia soma: UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote
wanabaraka zote za ccm na IGP ana ujumbe
 
Back
Top Bottom