kitonsa

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
1,211
2,636
Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa.

Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii.

Maandamano UVCCM.png

My take,
Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba MDUDE asiweze kufanya maandamano ya vijana nchi mzima kupinga mkataba wa bandari

Polisi Tanzania inabidi itambue kuwa kuandamana Ni takwa la kisheria ,na si utashi wowote wa mtu au taasisi kuamua lini na Nani aandamane ikiwa maandamano ni ya amani

Mdude chadema anataka kufanya maandamano ya amani, kwa kile anachoona kuwa rasilimali ya nchi inataka kupotea kiraisi, naomba jeshi letu la polisi liheshimu nia yake

Wakumbuke kuwa kutetea rasilimali ya nchi ipo kwa mujibu wa sheria
 
Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na uvccm nchi mzima hayataruhusiwa

Wametoa sababu Kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii

My take,
Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba MDUDE asiweze kufanya maandamano ya vijana nchi mzima kupinga mkataba wa bandariView attachment 2690292
Mdude hatoomba kibali chochote kutoka popote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom