Leo kivumbi, wote tuko kitandani ila desktop imewashwa

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,435
5,102
Nipo kitandani, nashangaa desktop inawashwa, kwenye meza hakuna mtu. Wala hakuna paka labda kusema kaminya sehemu. Hii si balaa?
 
Unaishi Dar mitaa gani?
Umeona ni rahisi kuandika uzi utusumbue badala kwenda kushuhudia?
 
Kuna mtu/mzimu anataka kuitumia kukupa ujumbe baada ya mahangaiko ya muda mrefu. Wewe endelea kulala. Ukiamka asubuhi ikague uone kama kuna mahali popote penye ujumbe au kitu kipya. Ukokosa ilete kwangu, nina utaalamu wa kuona mambo ya ulimwengu wa huko tusipopaona kwa macho ya nyama.
 
Bora nisiwaoni tu hao mizimu
 
Back
Top Bottom