wote

  1. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Ramadhan Kareem

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan Ujumbe wake Muruwa huu hapa
  2. JamiiForums Tanzania Kwa somo hili wanasiasa wote Tanzania bado ni kizazi cha wapigania uhuru-uhuru wa bendera

    https://www.youtube.com/watch?v=pCEYJFpwydw
  3. JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa kwa uongozi mzima wa Simba ujiuzulu kupisha wengine

    Kelele na malalamiko yamekuwa mengi kwenye klabu ya Simba. Kuanzia kwenye masuala ya usajili wa wachezaji, matokeo uwanjani, malalamiko ya kuonewa ndani na nje ya uwanja, hadi utendaji wa kila siku wa klabu kote huko malalamiko yamekuwa mengi mno. Kwa muda sasa Simba imekuwa inahangaika huku na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa sura za wanawake na wanaume zilizochangia 120M kwa Rais, hakuna aliyetoa fedha mfukoni hawa wote wamechukua fedha za perdiem na posho za vikao

    Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi. Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi wao wana ndugu na jamaa wenye kukosa mahitaji muhimu. Wengine wana ndugu wasiomudu huduma za afya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Watanzania Wote: Amkeni

    Tanganyika ilimilikiwa rasmi na Ujerumani tangu mwaka 1885 baada ya mkutano wa kugawana Afrika uliofanyika mjini Berlin nchini Ujerumani. Baada ya hapo Watanganyika walianza kutawaliwa rasmi na Mjerumu. Katika utawala wa Mjerumani, Mtanganyika aliondolewa kabisa majukumu ya uongozi na kazi hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Kikubwa wote tumefungua kinywa hata kama mmenizidi!

  7. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yazindua huduma ya bima yenye misingi ya sharia kwa Watanzania wote

    Dar es Salaam. Tarehe 28 Februari 2024: Ikiwa na uzoefu wa takriban miaka minne sasa Benki ya CRDB imezindua huduma za bima zinazozingatia misingi ya shariah zijulikanazo kama Takaful kwa ajili ya wateja wanaofuata imani ya Kiislamu na wananchi wengine wanaozingatia misingi ya dini hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania 2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  9. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo muhimu kuyaelewa pindi unapopata ugonjwa sugu

    Habari JF, nimeandika kuandika haya ili kuzuia madhara yatokanayo na ufuatiliaji duni wa magonjwa sugu. Kitu cha kwanza kabisa ukipatikana na ugonjwa sugu wowote iwe Sukari ,Presha ,HIV-UKIMWI , Lupus ,Seli Mundu - sickle cell disease , Rheumatoid ...etc lazima uielewe shida ulionayo na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wote wahakikiwe na kupatiwa leseni ya kozi maalum ya kubeba abiria

    Hatuwezi kusema moja kwa moja kazi ya boda ni laana! Lakini matendo ya madereva bodaboda wengi wao nikama wana laana! Huko barabarani honi ndiyo breki, hawana kusubiri, wanaovateki hovyo wakiamini wapo sahihi muda wote! Bahati mbaya boda anapoovateki kushoto na mwenye gari ikawa anakwepa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia

    Kwema Wakuu! Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mpo 100 kwenye chumba, ili ushinde milioni 100 unatakiwa kufanya kitu kimoja unachokiweza sana kuliko wote. Utafanya nini?

    Wakuu kwema? Tuchangamshe kichwa kidogo. Mpo watu 100 kwenye chumba kimoja, na kuna milioni 100 za kushindaniwa. Ili uweze kunyakua mahela hayo unatakiwa kufanya kitu kimoja ambacho utawashinda wengine wote. Ungefanya kitu gani? Mimi ningekaa kimya tu, maana watu asiku hizi hawajui kunyamaza...
  13. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimepata mke tayari, nashukuru wote mlionitafuta

    Naomba nitoe shukrani zangu za dhati JamiiForums kunipatia mchumba, Pia, sio kwamba wewe hustahili kuwa mke wangu kama sijakupa kipaumbele, la hasha ni vile nilikuwa nataka mmoja tu! Wengine tunaweza kushirikiana katika biashara zingine, tu na zikaenda kwa uzuri. Mazao, ng'ombe, cosmetics...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure Dkt Godwin Mollel amesema hayo leo Februari, 25, 2024 alipowajulia hali majeruhi wa ajali hiyo iliyohusisha magari manne...
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma wa watanzania na wana JamiiForums wote

    Tokea juzi Ijumaa Jioni hadi Alfajiri hii ya leo ID yangu hii ya GENTAMYCINE ilikuwa Imedukuliwa na Wahuni hivyo kama kuna Maudhui yoyote yaliandikwa tokea hiyo juzi hadi jana jua si yangu bali ni ya hao Wadukuaji Wahuni wakiongozwa na adriz, Dada Nifah, Popoma Tate Mkuu na Rafiki yangu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maandamo Arusha Feb 27: Tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii

    Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii. Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu: Ni wazi kuwa umoja wetu hatimaye, utaikomboa nchi hii: Maandamano Mbeya, Mwanza umoja wetu...
  17. JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Romania ilienda World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa wakiwa wamepaka Bleach karibia wachezaji wote

    Nimeona wananchi kesho wana mechi ya ligi ya mabingwa afrika, ni mechi muhimu sana kiasi wakaamua kuipa jina “Pacome Day” huku wakinogesha na style ya nywele ya mchezaji wao Pacome. Style hiyo kutumiwa na wachezaji wengi wa timu sio ngeni katika shughuli za michezo hasa kabumbu. Mwaka 1998...
  18. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba na Yanga wote watasare michezo yao ya CAF champions league

    Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu. Asec vs simba 0 - 0ft Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi ndiye Mkurugenzi productive kuliko wakurugenzi wote

    Huyu Mzee anawajibika ipasavyo Kila akipata Fursa ya kuujulisha UMMA kiukweli anaitendea haki. Kazi/projects zilizopo na zijazo zinatia moyo sana kwa future ya taifa na mataifa jirani. Vp wakurugenzi wengine wangekuwa productive kama huyu Mzee naamini matatizo ya usafiri, mafuta, umeme...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Wadau Wote Wa Muziki Humu: Naombeni Feedback Yenu [Zoom]

    Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi? Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo? Natumia Fl Studio + Ableton Live. Kuhusu style ya mziki, bado siko sure hii ni aina gani, but the whole idea ni kuunda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…