wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Ushuru wa maegesho umegeuka kuwa wizi usiotumia mabavu wa serikali dhidi wananchi wake

    Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake. Mawakala wa halmashauri wanaohusika na kukusanya ushuru huo kwa kuvitoza vyombo vya moto vilivyoegeshwa wanafanya hivyo kimyakimya bila kuacha...
  2. T

    JamiiForums Tanzania ORYX Gas mnatujazia mchanganyiko wa Gas na Maji? Je, ni wizi au utapeli?

    Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika mitungi ya gas. Nimenunua mtungi wa ORIX gas wiki iliyopita na kutumia lakini chakushangaza badala...
  3. JamiiForums Tanzania Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
  4. JamiiForums Tanzania Ujamaa ni sababu mojawapo kubwa ya umasikini na uharibifu wa nchi nyingi za Afrika

    Wanahistoria, wachambuzi na watu wengine wengi mnaopenda kufuatilia maendeleo katika bara la Africa mnapaswa kutilia maanani madhara, hasara na legacy ya ujamaa katika kufifisha maendeleo ya nchi za Africa zilizofuatisha mfumo huo wa uchumi. Nchi nyingi za Africa wakati zinapata uhuru miaka ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nape Moses Nnauye hakuna unachokifanya, mitandao ya simu inafanya wizi as if hawana regulatory aithority

    Tumelalamka wizi wa mitandao ya simu especialy kuhusu internt data. hakuna hatua wanayochukuliwa kurekebisha wizi huu. Unaweka data , muda mwingine bila kuitumia unakuta imeisha. Ukiwapigia simu customers care nobody responds. Nape unafanya nini ofisini?
  6. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto. Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa. Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wizi

  8. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msukuma Kasheku alilia wizi wa fedha za Umma

    Kasheku amelilalamikia Bunge kwa nini haliwezi kutoa maamuzi ya kufanyiwa kazi. Anapendekeza bora hoja bungeni zisipelekwe kuliko kupoteza muda. Ktk clip inayosambazwa anatoa mifano kuwa kuna Mwizi ktk halimashari alipeleka jina lake kwa Waziri Bashingwa na hakuona mwitikio na hatua...
  9. JamiiForums Tanzania Je, kuchukua pesa ya Serikali ni wizi?

    Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
  10. JamiiForums Tanzania Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Kwenye hii thread tutakuwa tuna share Mbinu za wizi za mafundi ujenzi ili kusaidia wale wanaotaka kujenga "wasipigwe ". Wengi tumepigwa sana hadi kuzijua hizi mbinu. Karibuni.
  11. JamiiForums Tanzania TCRA mmeshindwa kufuatilia uhuni unaofanywa na Vodacom upande wa M-Pesa?

    Ni wiki ya pili sasa nimekuwa nikifuatilia hiki kitu kwa namba tofauti tofauti. Iko hivi: Sasa hivi ukiweka pesa kwa wakala yeyote yule, iwe unamtumia mtu, ama unaweka kwako hautumiwi sms kuonesha ya kwamba umewekewa kiasi fulani, wala kwa mpokeaji! Wakala anachoweza kukwambia ni kwamba...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaingilia kati huu wizi wa mitandao ya simu kuunganisha watu kwenye huduma wasizohitaji?

    Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi. Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya call" ,"Tikisa ushinde" n.k. Huna taarifa na huduma hizo,hujui umejiungaje na wala hujui zinahusu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Nimetumia huu uwanja Tar 28.03.2024 nikienda Qatar. Nafika Qatar mashine yangu ya Pressure na perfume havimo kwenye bag ambalo nili check in. Aibu sana kwa Kweli.
  14. JamiiForums Tanzania Simu za mkopo ni wizi mtupu

    Ni wizi kama wizi mwingine tu Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k 100000 x 12 = 1.200.000 Makato 12 months ni 1.2 milioni
  15. T

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Morogoro huu ni wizi

    Moja Kwa moja kwenye Mada bila kuchoshana Wala kupotezeana muda, in short Manispaa ya Morogoro mnatuibia Kwa nguvu abiria tunaotumia stand kuu ya mabasi Msamvu. Kitengo Cha ukusanyaji Ushuru stand ya mabasi Msamvu mnatumia mabavu kulazimisha Kila abiria anaetoka NDANI ya stand Ambae kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Kaka naomba unisaidie kunielezea matatizo yangu kwenye ule mtandao wenu wa jamii forums ulionisaodia kipindi kile, wakati huu nahitaji msaada sana Haya ni maneno ya binti ambaye anaitwa Rahma Shaabani Kiwangala, mwenye mtoto mdogo wa takriban mwaka mmoja mkazi wa Manzese mburahati, mtaa wa kwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Rais amekiri kuwa kuna wizi wa fedha za Serikali

    Rais amekiri kuwa kuna wizi wa fedha za Serikali. Fedha zote zinatunzwa Wizara ya Fedha. Zinatolewa Wizara ya Fedha kwa utaratibu uliokubaliki Waziri wa fedha akiwa na taarifa. Fedha zinaenda TAMISEMI Waziri wa TAMISEMI lazima awe na taarifa. Kwanini Mamlaka ya uteuzi isiwaajibishe Waziri...
  18. JamiiForums Tanzania Vodacom, huu ni wizi mpya mlioubuni? Nirudishieni 30000 yangu M-PESA

    Habari IPO namna hii, Mimi ni mwenyekiti wa kikundi Fulani na watu huwa wanatuma pesa zao kwenye akaunt yangu kwa ajili ya kuwalipia M-Koba.. Laini nnayoitumia nliisajili kwa kitambulisho cha nida cha mke,. Nikaona isiwe kesi ,mke afute usajili ili nisajili kwa kitambulisho changu..na wakati...
  19. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa HAMAS aliyekuwa anaratibu wizi wa vyakula vya misaada auawa

    Poleni kwa msiba... An IDF aircraft strike, in collaboration with the Shin Bet intelligence, killed Muhammad Abu Hasna, a commander in Hamas’ Operations Unit in Rafah on Wednesday. Hasna was an operative in Al-Qassam Brigades, Hamas’ military wing, and was involved in stealing humanitarian aid...
  20. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

    #Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na mitandao mingine nje ya serikali. Rais Samia ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024 wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…