Kesi za wizi kwa njia ya mtandao

Azigadi04

New Member
Sep 2, 2022
2
0
Kumekuwa na Tabia za matapeli wengi kuongezeka kwa njia ya mtandao hususani mawakala wa kutuma na kutoa pesa.

Ukienda polisi kesi za wizi wa mtandao ni nyingi mno na hazifanyiwi kazi na Wingi huo umesababishwa na

Polisi hawazifatilii na wahusika hawawakamiti

Sababu zikiwa ni pamoja
Mawakala kukata taama kuogopa gharama za ufatiliaji wahusika.

Polisi lazima umlipe pesa Ili kuwatafuta watuhumiwa.

Polisi wamekua wakikatjsha taama mwanzo tu unapokua unachukuliwa maelezo lengo tu uachana nazo.

Pili
Unapoamua kufatilia na kuingia gharama MUNGU akikusaidia ukawakamata.

Lengo lako wakala ni ukishawanasa wakulipe hera zako zote.

Watuhumiwa ukiwakamata wanakili kuwa waliiba na baada ya hapo ukiwapadau ndugu wa watuhumiwa Ili wakulipe ndugu au watuhumiwa wanajua Tayari kulipia hizo gharama
Ila tatizo linakuja tena kwa askali polisi police wanakua na Tamaa na ile hera wanaanza kuwatetea wale watuhumiwa kuwa hera ni kubwa ,na uhalisia watuhumiwa hawaendi na hera yoyote

ASkali wamekuwa watu wenyewe tamaa hadi kwa viongozi

Ndio maana ndugu zangu Jamii forums naongea haya yote kwa uchungu kwamba yalinikuta
baada ya kulipot police
nilicheleweshewa kupata mpelelezi maana nilikua nishakatushwa tamma na maaskali haohao
ila Mungu alisaidia watuhumiwa niliwapata Kilometers 168 kutoka nilipo.

Baada ya kuwakamata watuhumiwa nili mpelelezi nilikua bado sijapewa nikaamua kumfata mkuu wa kituo ndo akaniambia kama Niko Tayari watuhumiwa wafatwe nitoe gharama kwa maaskali wawafate
kweli niliingia gharama watuhumiwa wakafatwa chaajabu walipofika niliwaambia nataka kiasi fulan wakawa wako tayar kulipia na hera walikuja nazo
ila tulipofika kwa mkuu wa kituo nikamwambia watalipa kiasi Fulani mkuu wa kituoa akwatetea kuwa hera ni kubwa na hera Iko mezani ikabidi nipewe nusu ya hera waliyonayo ,ila nikatolewa kwenye kile chumba wakabaki mkuuu wakituo na askali mmoja na wale watuhumiwa wanamalizana

yani Mambo ya hovyo


Askali nao ni chanzo cha kusababisha kesi za namna hiyo kuongezeka
Maana matapeli wanajua wakitapeli hawafatiliii
😭😭😭😭😭
 
Sio kesi za utapeli Tu NI kesi nying police wanazipiga kushoto , omba Mungu Tu Kesi zako Nyingi ziamuliwe na Mungu Tu mtoa Haki kwa wote
 
Bora hata ulipata hiyo Nusu...!

Kwenye Kesi kama hizo Police watakuuliza Umeibiwa kiasi gani...!?

Lengo si kukusaidia, kujua Watawachomoa kiasi gani walle Wezi...!

Police wamekua ni Madalali wa Haki.
 
Back
Top Bottom