Rais amekiri kuwa kuna wizi wa fedha za Serikali. Fedha zote zinatunzwa Wizara ya Fedha. Zinatolewa Wizara ya Fedha kwa utaratibu uliokubaliki Waziri wa fedha akiwa na taarifa. Fedha zinaenda TAMISEMI Waziri wa TAMISEMI lazima awe na taarifa.
Kwanini Mamlaka ya uteuzi isiwaajibishe Waziri...
Habari IPO namna hii,
Mimi ni mwenyekiti wa kikundi Fulani na watu huwa wanatuma pesa zao kwenye akaunt yangu kwa ajili ya kuwalipia M-Koba..
Laini nnayoitumia nliisajili kwa kitambulisho cha nida cha mke,. Nikaona isiwe kesi ,mke afute usajili ili nisajili kwa kitambulisho changu..na wakati...
Poleni kwa msiba...
An IDF aircraft strike, in collaboration with the Shin Bet intelligence, killed Muhammad Abu Hasna, a commander in Hamas’ Operations Unit in Rafah on Wednesday.
Hasna was an operative in Al-Qassam Brigades, Hamas’ military wing, and was involved in stealing humanitarian aid...
#Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na mitandao mingine nje ya serikali.
Rais Samia ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024 wakati...
Hivi unafahamu unapigwa katika parking?, Hawa jamaa wanapiga sana unapo egesha gari hata kama ukiondoka wao wanatunza kumbukumbu lisaa likiisha wanaongeza muda hata kama wewe upo kwako umelala utakutana nazo bills!
Hiyo ndiyo hali halisi ya wizi huu unaofanywa na kampuni ya parking na...
WanaJF wa kigamboni
Naomba niwape mkasa ulionipata najua BUTCHER nyinyi za nyama wanaiba mwingine karibia 50gm, 100gm, hata 200gm. Kwa KIGAMBONI FERRY kuna Butcher kama 4 au 5 kama sijakosea.
Katika butcher hizo nimewai kununua kwenye butcher 2 na zote nimeibiwa.
BUTCHER ya kwanza nilienda...
Kama tujuavyo kwa sasa mfanyakazi anaweza kukopa online moja kwa moja kupitia ESS bila kwenda bank.
Lakini cha ajabu bado Riba ni kubwa na kuna Bima ya mkopo kubwa. Tukiachana na hayo ya bima na riba bado benki wanakata "Processing Fee" (gharama za mkopo, au ada ya mkopo).
Najiuliza mfanyakazi...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kumkamata Omari Mlopa (28), mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32, zilizoibiwa na baadae kuzifanya zao kwa kukodisha kwa mikataba kwa watu mbalimbali na kujipatia pesa kila siku.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya...
Habari wana JF,
Kuna huu wizi sijui niite utapeli ambao binafsi nimeanza kuushuhudia tangu mwaka 2022 kwa maeneo ya Kariakoo na kila mara nikipita eneo hilo nakuta huo wizi unaendelea utapeli wenyewe unafanywa na jamaa wauza juice ya miwa mitaa ya karume mbele ya TBL (Tanzania Breweries...
Habarini za wakati huu wana jamvi. Hope this article finds you in a good mood!
Leo natamani sana kufahamu mifumo hasa ya kitehama (digital systems) ambayo unaitumia kurahisisha majukumu mbalimbali katika biashara yako au kuifanya biashara yako kidigitali. Biashara yoyote ile.
This is a call to...
JESHI la Polisi mkoani Tabora limemkamata Moshi, kwa tuhuma za uharibifu na wizi wa alama za usalama barabarani kutoka katika barabara mbalimbali katika mkoa huo baada ya kukutwa na alama zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 10 nyumbani kwake.
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari...
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama...
Watu wanne wakiwamo watumishi wawili wa Serikali na mlinzi wamekamatwa kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe.
Taarifa za wizi huo zimetolewa leo Februari 9, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Butusyo Mwambelo...
Habari!
Wangapi kati yetu tushakutana na changamoto ya kupoteza pesa sababu tu Vodacom Mpesa wanakataa kurudisha pale vifurushi vinajinunua mara mbili wakati mmoja?
Kuna haja ya kupaza sauti kwa aina mpya ya mitandao kuibia wateja wao.
Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema...
Kumekuwa na Tabia za matapeli wengi kuongezeka kwa njia ya mtandao hususani mawakala wa kutuma na kutoa pesa.
Ukienda polisi kesi za wizi wa mtandao ni nyingi mno na hazifanyiwi kazi na Wingi huo umesababishwa na
Polisi hawazifatilii na wahusika hawawakamiti
Sababu zikiwa ni pamoja
Mawakala...
MKUU wa wilaya ya Moshi, Kisare Makori leo alikuwa kwenye ofisi za makampuni ya mabasi ya Kilimanjaro express baada ya abria kusota kwa saa sita bila usafiri kufuatia katazo la Mamlaka ya udhibiti usafiri Ardhini(LATRA) kwa mabasi hayo kusafrisha abiria kuanzia leo kwa kukiuka masharti ya leseni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.