NMB acheni wizi kwa wateja wenu

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,979
6,784
Ndugu zangu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo, amani ya Bwana ikawe juu yenu.

Rejea kichwa tajwa hopo juu. Why NMB Bank mnatenda hivi?

Ni kweli mmekuja na app yenu on line, nawapongeza kwa hili, ila kumbukeni mteja na app yenu atachukua pesa kwenda na pesa yake na atatoa kwa wakala, mnajua hilo?

Why kwa mteja wenu ambae anatumia NMB APP kumtoza kiasi kikubwa cha fedha na ukizingatia anatumia pesa pia kununua kifurushi kuingia kwa app yenu achilia mbali kutoa kwa wakara bila kujali ni aina ipi ya mtandao wa sim.

Hivi mmekaa na kufikiri ni namna gani mnawaumiza wateja wenu, au mwafikili kupata maokoto tu.

Niseme acheini mara moja kuwaumiza watz vinginevyo vikampuni vyenu vitakufa , nanyi kufa mdomo wazi asema Bwana.

Thanks
 
Hawa jamaa hata ukiangalia balance tu kwa app imekwenda wanakata yan nilikuwa sijui ila nikashangaa mbona kuna hela zinakwenda sijui zinakoenda kuja kustuka ni app kuchek salio na mim nilikuwa natumia nikijua bure kama tigopesa app na mpesa app kumbe sivyo

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ukotoa kwa azam pesa hata elfu sita inatoka
Nilikua sijui ,ila itoshe sema NMB Wapumbavu sana , yani unawaka ki app chako pale watu wanapakukua iyo app then bado una wakamua kweli kweli wanapotumia app yako kutoa pesa , huu ujinga na pumbavu zao.

Napedekeza kwanza kwa serikali unda kitego namna gani watumishi wapate mishaara yao nje ya mabenk uchwa bumbavu zao,na watapunguza kiburi
 
KWELI kuna kipindi tigo application yao ilikuwa eti haifunguki kama huna bando hata kama unafungulia na line ya tigo baada ya malalamiko naona wamejirekebisha
 
NMB- nipakue App yenu kwa MB zangu ambayo ni pesa, then niingie kwa App yenu kuchukua pesa kwa Mb zangu ambayo ni pesa pia ,alafu unilambe kwa kiwango cha lami , pumbavu sana , ngoja siku zenu zaja kwa ukandamizaji huu ipo siku Bank hii itarudi kwa wananchi asema Bwana
 
maana ya app ilitakiwa iwe bila makato au ni gharama nafuu kabisa kuliko wa kawaida...
kama apps za mpesa na tigo pesa... sasa hawa badala ya kuweka unafuu ili kushawishi watumiaji, ndo wanaongeza gharama, wameisha kabla ya kuanza.
Wabumpavu sana au wanafikiri watz kwa sasa ni wajinga, angalia sasa mpaka sasa wamethulum watz wangapi,stupid zao
 
Nimefungua akaunti ya machinga wiki iliyopita na nikadownload app ya nmb mkononi. Kama wameweka upumbavu huu basi acha hiyo 5,500 iende hii 4,500 hawataiona. Pesa nitaweka ni ya biashara almost 30m ila kama wameweka huu upumbavu basi nitaachana nao rasmi.
 
Mkuu fanya mwamala mmoja pitia app yao utashangaa
 
Back
Top Bottom