Nimestushwa na wizi wa data wa makampuni ya simu

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
15,199
20,176
Siku zote najua tunaibiwa data na MAKAMPUNI ya simu lakini sikujua Kama ni wezi kiasi hicho.
Mara nyingi naweka kifurushi cha wiki lakini hata simu yangu ilizima charge kwa kukosa umeme kifurushi huwa kinakaa siku moja tu na so zaidi.
Leo sijui imekuwaje nimezima data baadae nikaangalia salio nikakuta na mb 269. Sijui nimewaza Nini bado sijawasha data kuangalia salio nakuta mb 266 nikashtuka baada ya dakika mbili nimeangalia salio hapo data nimezima nikakuta mb 263. Kwa maana nyingine hata ukizima data bado mb zinaisha.
Jumatatu naenda TCRA Kuna Jambo nafatilia nitawaonyesha hao maafisa jinsi gani tunaibiwa ndio maana sijataja jina la kampuni.
 
Simu yoyote ambayo betri ipo ndani kwa ndani wakuu huwa inakuwa traced! Wewe zima ila fahamu kuna activities zinahitajika! Ukitoa betri huwezi kutana na upuuzi huo. Mfano Iphone, inarekedi mpaka mjongeo, sauti na ikibidi location, zinaenda huko zinapoendaga. Sababu kuu ya kuweka betri ya ndani kwa ndani nibkukusanya taarifa za watumiaji hata data ikiwa off! Na sasa hivi ni kwamba hata simu ukiizima still data zinazohitajika zitachukuliwa hivyo hivyo maana chip zimeweka ktk betri. Inaudhi lakini ndio kweli yenyewe
 
Mmmh hataar
 
...Halafu Ubishi Sasa wa Makampuni Haya ! Wizi TU !...
 
Simu yoyote ambayo betri ipo ndani kwa ndani wakuu huwa inakuwa traced! Wewe zima ila fahamu kuna activities zinahitajika! Ukitoa betri huwezi kutana na upuuzi huo. Mfano Iphone, inarekedi mpaka mjongeo, sauti na ikibidi location, zinaenda huko zinapoendaga. Sababu kuu ya kuweka betri ya ndani kwa ndani nibkukusanya taarifa za watumiaji hata data ikiwa off! Na sasa hivi ni kwamba hata simu ukiizima still data zinazohitajika zitachukuliwa hivyo hivyo maana chip zimeweka ktk betri. Inaudhi lakini ndio kweli yenyewe
Eeh kumbe? Na huu utaratibu ni international? Mbona. I simu zote sasa siku hizi?
 
mkuu na mm nmejarbu hvhv ulivfnya ww nlkua na mb 146
nmezma data sekunde kam 15 hv naangalia salio nakuta mb 144 dah kummke
Huo muda uliomaliza kuangalia bundle hadi ukaenda kwenye settings kufunga data una uhakika apps zilizokua on zisingeweza kutumia hizo 2 mb?
 
nimezma data afu nkaangalia salio nmkaa hz sekunde afu nkaangalia tena

hii mitandao ni wez tu mda mwngne unatumiwa sms ya kukuambia kuwa umetumia 75% ya mb zako wkt data umezma zaid ya lisaa hujawasha
 
Back
Top Bottom