Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia saini kwenye benki moja hapa Moshi na kuchota kiasi kikubwa cha fedha.
Kundi hilo kwa kumtumia...
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote...
Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti...
Ili kuendelea kupinga vitendo vya uvunjifu wa amani mkoani Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amewaahidi wananchi wa mkoa huo hususani Bodaboda kuwa yeyote anayemjua mwizi na mwenye viashiria vya wizi basi akifika katika ofisi yake (yaani ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha) atapatiwa Tsh...
Nimepiga simu Tanesco, wamesema mita yangu ilikuwa inadaiwa 18,000 kwa mwaka wa fedha ulioisha(2023/24) hivyo wamekata pesa hiyo niliponunua umeme leo.
Nikawauliza mbona wamekuwa wakinikata kila mwezi, hili deni wanalosema sijalipa mwaka mzima limetokea wapi?
Majibu(TANESCO ): Hizi taarifa...
Habari za leo,
Ninatokea Mbezi mtaa wa Luis kitongoji cha Upendo.
Hivi karibuni kumeibuka wizi wa mita za maji hapa mtaani kwetu bila kujua wanaoiba wanazipeleka wapi, Dawasa tumewapa taarifa lakini hawana majibu.
Sasa cha kushangaza hizi mita zina namba zake ambazo ni za usajili. Je, hawa...
Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao.
Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye wizi usio na mfano,bangi inavutwa hadharani tu. Achilia mbali matukio hayo,sehemu ya njia tatu...
Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu.
Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
Kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye branch ya Mbagala Zakhiem upande wa Lipa kwa simu, HQ wanasema ni bure kupata number ya Lipa kwa simu ila ukifika kwenye hii branch Wanatoza 10,000 kwa ajili ya hii huduma.
Je, huu wizi umebarikiwa na manager wa branch?
Waziri wa fedha alisema hakuna wizi serikalini ndio maana maendeleo yanaonekana.
Je, ni kweli hakuna wizi Serikalini?
Kauli yake ina ukweli kiasi gani? Jamiicheck tunaomba mhakiki suala hili.
Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.
Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan Uingereza na ligi ya mabingwa wa ulaya, wamefanya tena wizi wao dhidi ya walala hoi wa Tanganyika na Zenj...
Miaka 5 mbele inaonekana kuwa wazi kabisa kwa binadamu yeyote anaefuatilia muenendo wa nchi yetu mama nchi ya Tanzania.
Mimi ni miongoni mwa vijana wanaotamani kusoma masomo yake nchi zilizoendelea tangu utotoni lakini mpaka wakati huu nafasi imekua ngumu kupatikana inaezekana kwa sababu ya...
Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
✅Je ni kweli kura zinaibwa wakati wa Uchaguzi mkuu?
✅Mbinu gani hutumika? Zinaibwaje kura husika?
✅Wahusika wa wizi ni nani hasa?
✅Wanaoshiriki na kufanikisha wizi wa kura wwnatunukiwa nini?
✅Je ni kweli kuna asante ya vyeo kwa wanaofanikisha wizi?
✅Wanao iba kura wanawezaje kujizuia...
Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya.
Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi?
Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais.
Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo.
Hapo tusimung'unye...
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha...
Wadau milioni 50 kwenye zimetafunwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na serikali Ipo kimya.
Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.