Msitake tuseme anakula nao hizo hela za wizi!!

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,180
Reaction score
138,474
Mbona hawachukuliwi hatua?

Mbona wanaishia kuhamishwa tu ?

Mbona wanatukana na kukashfu uwamu ya sita?

Mbona wanateuliwa watu walioshindakana na sugu?

Mbona hawachunguzwi licha ya tuhuma za kumilika mali kubwa kuliko vipato?

Hivi anavyozunguka nao huko kwenye ziara kuna usalama kweli? Msitake tusema mnagawa maokoto
 
yooooooooooooooote yanawezekana
 
🤣🤣🤣 Pokea 💉💉💉

Acha Kazi iendelee...
 
Back
Top Bottom