wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Kura na Makosa ya Tume ya Uchaguzi Nchini Gaboni ndio Sababu ya Mapinduzi. Je, Africa Mashariki tunalo la kujifunza?

    Imeelezwa kuwa Wizi wa kura ambapo Tume ya Uchaguzi Nchini humo ilimtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi ktk kinyanganyiro uchaguzi Wiki iliyopita. Uchaguzi Nchini Gaboni uligubwikwa na fujo ma vurugu nyingi na vitendo vya uvunjifu wa amani dhidi ya Raia. Aidha taarifa zinadai kuwa siku moja...
  2. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

    Angalia video hii, kama unawatambua toa taarifa upate zawadi yako ya Tsh. laki 5.
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafamasia waaswa kutojihusisha na Wizi wa Dawa hospitalini

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Mohamed Janabi amewataka wafamasia kuzingatia uaminifu pamoja na weledi katika utendaji kazi wao wa kila siku. Prof. Janabi ameyasema hayo wakati wa hafla la kuwapongeza wafanyakazi bora wa robo ya nne iliyoandaliwa na Idara ya...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: 40 Mbaroni tuhuma za wizi kwa kuingilia Mfumo wa TEHAMA

    Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya, watu 40 wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuhusika kwenye wizi huo wa Sh450 milioni wa fedha za umma. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 28, 2023 Mkuu wa Wilaya ya...
  6. FANALEKI

    JamiiForums Tanzania Huu wizi wa wazi kwenu watu wa halimashauri

    11
  7. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mtu akijishughulisha na kuuza madawa, utapeli, wizi huyo nae ni hustler/ mpambanaji?

    Hustler ni Mpambanaji au mtafutaji na hakati tamaa, akikata tamaa anazama chaka lolote lile kusaka Mabunda. Lakini je, hao mapusha, wezi, matapeli wanafaa kuitwa hustler?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wizi wa nafaka na mafuta ya Syria, “polisi” amegeuka kuwa “mwizi”?

    Shirika la Habari la Syria hivi karibuni liliripoti kuwa jeshi la Marekani "limeiba" kiasi kikubwa cha ngano kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuisafirisha kwenye kambi yake ya kijeshi nchini Iraq. Katika miaka ya hivi karibuni, jeshi la Marekani ambalo linajidai kuwa “polisi duniani”...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya wa "kuunganishiwa mabando (GBs)" umeibuka!

    Leo katika pitapita zangu kwenye moja ya mitandao ya Kijamii, nimekutana na tangazo la kuunganishiwa kifurushi au bando kwa bei nafuu (Gb 7 kwa mwezi kwa Tshs. 5,000/=) na kulingana na hali ya mambo kwa sasa ilivyo, nikaona hii ita itanipa unafuu wa maisha maana vifurushi vimekuwa ghali sana kwa...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania VIDEO: CCM waanza kutajana kwenye Wizi wa kura

    Kuna taarifa ukizisikia unaishia kuumia na kushangaa Sana sana. Kuna mengi nyuma ya pazia yakutisha. Kama haya yamefanyika Kwa CCM wenyewe Kwa wenyewe, ilikuaje Kwa Upinzani?
  11. Termux

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni ya Bradda acheni wizi

    Habari Jf, Baada ya kuangaika sana katika harakati za kutafuta sehemu nzuri au kampuni nzuri itakayoweza kutoa Internet nzuri ya nyumbani na ofisini kwa gharama nafuu. TTCL : Nilitumia ka muda mfupi baadae nikaachana nao maana wazito katika kutoa huduma au ukiwa na shida inachukuwa mda mrefu...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Serikali inasema DP World itadhibiti wizi bandarini. Kivipi? Serikali imerogwa na nani?

    Viongozi wa serikali ya Tanzania wameamua kujitoa ufahamu ili kuibeba kampuni ya DP world. Yaani sote tunajua shughuli za bandari zinahitaji usalama wa hali ya juu na madhubuti kwa sababu ya unyeti wake huku ukiratibiwa na vyombo vyote vya usalama vya nchi. Sasa, maajabu ya karne viongozi wa...
  13. safuher

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa haloteli na sms ya 75% ya kifurushi, halotel hawajui mahesabu

    Habari za jioni wakuu,natumai wazima. Nimechoshwa kabisa na hii tabia ya halotel kutuma sms ya kubakisha 75% za kifurushi wakati haujafanya jambo la maana. leo saa nne na robo asubuhi (10: 15) nilijiunga kifurushi cha wiki cha mb 440 kupitia halopesa(megabando). CHa kushangaza saa nne na...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mali za wizi za milioni 30 zakamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kukamata TV, Redio na Laptops zenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 30 ambazo Wahalifu waliziiba maeneo ya Kigamboni na tayari vitu hivyo vimetambuliwa na Wamiliki wake. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es saalam, Muliro Jumanne...
  15. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

    Habari wana jukwaa? Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi. --- Iran's Revolutionary Guards seized a tanker holding 900 metric tons of "smuggled fuel" and 12 crew...
  16. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Tabia za wizi husababishwa na Kutokuwa na Kiasi, Tamaa pamoja na Uvivu wa Kufikiri na Kutenda

    Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali, kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni. Kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali, maana ni mambo ninayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya. Katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuajiri mtu ndani ya mwezi 1 kaanza kuniibia

    Nimefungua biashara mpya na nimetengeneza ajira kwa mtaaalmu mmoja lakini katika mwezi wa kwanza ananiibia kama tuna hisa naye. Tufanyeje wajasiriamali?
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441

    Ni Wafanyakazi 4 wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga, Tabora. Watuhumiwa hao ni pamoja na waongoza Mitambo Ally Said (36), Samwel Mtenga (35), Awadh Mrango (36) na...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Masega Watua Kwa Rais Samia, Aeleza Mafundi Gereji Wanavyopasua Exhaust

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Jijini Arusha leo June 25,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba siku hizi kuna mtindo mpya wa Watu kupasua bomba linalotoa moshi wenye sumu...
  20. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Chaguzi za Kisiasa zifanyike Kidigitali (EBS) kuepuka Tuhuma za Wizi wa Kura

    “Electronic Balloting System (EBS)”, ni mfumo wa kupiga kura kidigitali, yaani kwa kutumia vifaa maalum vya tarakilishi. Mfumo wa kutumia tarakilishi katika uchaguzi sii mgeni hapa Tanzania, kwani toka mwaka 2015 Tume ya Uchaguzi nchini ilianza kuutumia kwa kuandikisha na kuhakiki wapiga kura...
Back
Top Bottom