wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mchawi mtu mbaya sana, anaweza kumuonea wivu muuza genge huku yeye ana hardware anawapanga foleni wateja

    Mchawi ni mtu mshenzi, hapaswi kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Uchawi dhima yake kuu ni wivu. Anaweza akawa na duka kubwa la vifaa vya ujenzi akapanga wateja kutwakutwa lakini akapandwa na pepo la wivu (uchawi) juu ya mtu anayeuza mihogo ya kukaangwa pembeni yake eti kisa Jamaa anauza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kinachoendelea NHIF ni reflection ya Incompetence za Viongozi, Wivu na Ushauri Mbovu kwa Waziri wa Afya

    Nimemsikiliza Waziri wa Afya leo tarehe 1Machi 2024 katika kutetea kuanza kwa kutumika kwa kitita kipya ambaco kimelalamikiwa na watoa huduma kutoka vituo binafsi. Katika maelezo ya waziri, amesema NHIF ni muhimili mkubwa wa kugharamia huduma za afya hapa nchini na kuwa takribani asilimia...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

    Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa. CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Sijui kama nina wivu uliopitiliza lakini wanaume tuliooa unamwachaje mke wako atoke nje na vimini ama suruali / taiti zinazombana?

    Mavazi haya ni ndoano ya kuvutia wanaume wengi kumuona mwanamke ni koloni lisilo na mtawala, kwamba bado yupo sokoni hana mme ama ana mme ila bado anataka attention ya wanaume wengine.
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Lissu: Watoto wangu wana uraia wa Marekani, mbona Makonda kama ana Wivu

    Akifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu. Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu amesema watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa, na pia kuhusu kuoa yeye alimsikia Makonda "Makonda...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kijana (30) amuua mpenzi wa mama yake (34) kisa wivu wa kimapenzi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34) kwa sababu za wivu wa kimapenzi. Habari kamili kutoka eneo la tukio zinadai kuwa kijana huyu pia...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania The problem of evil and jealousy solved. ( Suluhisho la kuondoa tatizo la wivu na husda duniani)

    Wakati akina mwenzangu na Mimi bado wapo gizani waki ji stress kutafuta hela za kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za English Mediums ili waje wapate ufaulu mzuri secondary ili wafike Chuo kikuu ili wakimaliza Chuo kikuu wawe marketable kwenye soko la ajira ( a very stupid mission), akina...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Lema aache wivu kwa Makonda, demokrasia iliona wote hawafai 2020

    Mwenyekiti wa UVCCM taifa ndg Mohamed Kawaida amemtaka aliyekuwa mbunge wa Arusha ndg Lema aachane mara moja na CCM pamoja na Makonda na badala yake ambane mwenyekiti kuhusu matumizi bora ya pesa za Chadema. " Nimekuwa namsikia Lema kwa siku kadhaa akimuandama mara kadhaa katibu wangu mwenezi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mwanasiasa anaona wivu ujenzi wa ofisi kama Makao Makuu ya CHADEMA kwa naye mbali anaweza kukupa hata sumu

    Kuna watu wamezaliwa na roho mbaya, wana roho na wataendelea na roho mbaya. Kuna watu niwakatili na wataendelea kuwa wakatili. Ukiona kiongozi anasimama adharani analalamika chama cha siasa kujenga ofisi basi tambua huyo mtu akipata upenyo anaweza kuchoma moto hata nyumba ya jirani yake ambaye...
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Wivu hausaidii ngoja niandike tu nilichojifunza kitusaidie wote

    Hakika naandika haya katika hali ya kuhakikisha kuwa tunatoka gizani na kuutazana ulimwengu katika mawanda mapana zaidi ya mazoea. Ninachakika tukitoka kwenye mazoea tutaitwa watu wa tofauti lakini tofauti hiyo ndiyo itakayotusaidia. Natamani sana kila mmoja wetu kufikia hatua ya kuacha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tubadilike, wivu umepitwa na wakati kwa wanandoa na walio kwenye mahusiano

    Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa. Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo chake (uume/uke) kwa mtu mwingine ni batili. Wanaoingia kwenye ndoa ni watu wazima. Sasa mtu mzima...
  12. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kuwachukia wayahudi kwa wivu wa kijinga na husda na roho mbaya

    Wanatushawishi mara oooh wayahudi hawawapendi wakrsto wachukieni. Ukiuliza tuwachukie kwa lipi utasikia allah kasema*sasa wakrsto na allah wapi na wapi" Mara oooh walimuua issa mwarabu wa kwenye hadith za qur'an wachukieni. Sasa wakrsto na issa mwarabu wapi na wapi? Sisi hatumtambui issa...
  13. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Acheni wivu na kelele zenu za kijinga kwa Wageni wanaowinda kihalali,hizo chuki zenu ibaneni serikali yenu ibadili sheria mbovu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili! Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie...
  14. Candela

    JamiiForums Tanzania Alitaka kisela sasa anaona wivu

    Huyu dada tulikubaliana penzi la kisela kama Vanessa na FA. Tena akasema hataki kupendwa wala kuonewa wivu. Kibaharia nikajua ana mwamba so coz mi sina future nae fresh ntagusa wororo nipite hivi. Ajabu ameanza kunifatilia mambo yangu. Akikuta naongea na simu muda mrefu hasa usiku anaanza...
  15. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kiukweli watu wa Kaskazini nawaonea wivu usioumiza, ni wivu wa kupenda kwao!

    Huu ni utamaduni ni mzuri kuigwa Utamaduni wa kukumbuka nyumbani walau maramoja kwa kila mwaka, kipengele hiki kwangu hunivutia sana, kwanza ni kama kihochea cha maendeleo ya kaya na kaya Kile kitendo cha mtu wa familia fulani kurudi na kitu nyumbani na mtu wa familia fulani kutokuwa nacho...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi wazidi kuteketeza maisha ya Watanzania. Amuua mke wake kisa wivu

    Watu wawili akiwemo mke na mume wamekutwa wamefariki katika maeneo tofauti tofauti baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe na kumtupa eneo la Mafisa kwa Mambi na yeye kukutwa amejiua katika eneo la Bigwa Manispaa ya Morogoro. Akizungumzia tukio hilo lililotokea usiku wa kuamki leo, kamanda wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wivu siyo asili yetu afrika, Bali ni janga linalotutafuna kuliko bangi

    Kuna misemo na nahau nyingi sana tuliwahi kujifunza huko shule ya msingi ambayo ilitosha kutupatia msingi wa maisha yetu hata leo! Mfano wa msemo! "Kutokujua kutumia kilicho bora; ni mwanzo mzuri wa kutumia kibovu" "Watu wengi huangamia kwa kukosa maarifa" "Mkataa pema, Pabaya panamuita"...
  18. Pamba Anord

    JamiiForums Tanzania Wivu wa wanaume kwenye ndoa ni sababu ya wake zao kuhamisha mapenzi kwa watoto

    Wanaume wengi hawaelewi uhusiano uliopo kati ya mke wake na watoto wako (mama na mtoto), na hivyo huwaonea wivu wake zao baada ya kujifungua .(kupata mtoto) Watu wanapooana, miezi ya mwanzoni huona ndoa kuwa tamu sana ila sababu za ugomvi mwingi katika ndoa ni pale mtoto anapopatikana, wanaume...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Usiamini sana watu, mtu ambaye hakuonei wivu ukimzidi ni Baba/Mama yako tu

    Sijui kama ni Bongo au dunia nzima. Adui wa kudumu wa kukufanya uwe na taadhari ni wivu kwa wanaokuzunguka. Usiwe mwepesi kufunguka kwa kula mtu. Hata aliyefanukiwa na tajiri akiona unapiga kahatua kidogo tu moyo unalipuka qnataguta namna ya kukupiga pini. Ujumbe ni kwamba Ukiacha Mjngu...
  20. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mwendesha Bajaj achomwa kisu na mkewe kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao. Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
Back
Top Bottom