Alitaka kisela sasa anaona wivu

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
628
1,648
Huyu dada tulikubaliana penzi la kisela kama Vanessa na FA. Tena akasema hataki kupendwa wala kuonewa wivu. Kibaharia nikajua ana mwamba so coz mi sina future nae fresh ntagusa wororo nipite hivi. Ajabu ameanza kunifatilia mambo yangu.

Akikuta naongea na simu muda mrefu hasa usiku anaanza kulalamika naongea na nani usiku wote au nna wananwake wengine. Mwanzo nilikuwa namkumbusha mimi na yeye hatuna feelings toward each other lakini sasa namuangalia tu. Kiufupi sina time nae na kashaanza kuwa kero kwa upande wangu.

Mimi ninae mchumba ambae ni engineer nilisona nae na naogopa asije akafatilia akawasiliana nae akaniharibia trust niliyoijenga huko maana babe wangu yuko mkoa kikazi. Na mie nipo mkoa pia kwa hiyo sasa nataka nimtemr lakini anajua napokaa na nikimtema lazima atatimba kwangu, hofu kuna majirani wanamjua mamsap ikitokea kakiamsha lazima reporter wafikishe chap.

Natamani nihame kwa ajili yake aisee.
 
Huyu dada tulikubaliana penzi la kisela kama Vanessa na FA. Tena akasema hataki kupendwa wala kuonewa wivu. Kibaharia nikajua ana mwamba so coz mi sina future nae fresh ntagusa wororo nipite hivi. Ajabu ameanza kunifatilia mambo yangu. Akikuta naongea na simu muda mrefu hasa usiku anaanza kulalamika naongea na nani usiku wote au nna wananwake wengine. Mwanzo nilikuwa namkumbusha mimi na yeye hatuna feelings toward each other lakini sasa namuangalia tu. Kiufupi sina time nae na kashaanza kuwa kero kwa upande wangu. Mimi ninae mchumba ambae ni engineer nilisona nae na naogopa asije akafatilia akawasiliana nae akaniharibia trust niliyoijenga huko maana babe wangu yuko mkoa kikazi. Na mie nipo mkoa pia kwa hiyo sasa nataka nimtemr lakini anajua napokaa na nikimtema lazima atatimba kwangu, hofu kuna majirani wanamjua mamsap ikitokea kakiamsha lazima reporter wafikishe chap. Natamani nihame kwa ajili yake aisee.
Pipa na mfuniko.
 
kwa hiyo sasa nataka nimtemr lakini anajua napokaa na nikimtema lazima atatimba kwangu, hofu kuna majirani wanamjua mamsap ikitokea kakiamsha lazima reporter wafikishe chap.
Endelea kukua mtumwa,

Pole sana mtumwa
 
Huyu dada tulikubaliana penzi la kisela kama Vanessa na FA. Tena akasema hataki kupendwa wala kuonewa wivu. Kibaharia nikajua ana mwamba so coz mi sina future nae fresh ntagusa wororo nipite hivi. Ajabu ameanza kunifatilia mambo yangu. Akikuta naongea na simu muda mrefu hasa usiku anaanza kulalamika naongea na nani usiku wote au nna wananwake wengine. Mwanzo nilikuwa namkumbusha mimi na yeye hatuna feelings toward each other lakini sasa namuangalia tu. Kiufupi sina time nae na kashaanza kuwa kero kwa upande wangu. Mimi ninae mchumba ambae ni engineer nilisona nae na naogopa asije akafatilia akawasiliana nae akaniharibia trust niliyoijenga huko maana babe wangu yuko mkoa kikazi. Na mie nipo mkoa pia kwa hiyo sasa nataka nimtemr lakini anajua napokaa na nikimtema lazima atatimba kwangu, hofu kuna majirani wanamjua mamsap ikitokea kakiamsha lazima reporter wafikishe chap. Natamani nihame kwa ajili yake aisee.
Ilitokea hii kwwngu nimedate na dem wangu 2 yrs baadae kaanza mambo meusi huku namsomesha chuo kikuu, mdogo wake akaanza kunipa stori zake kuwa chuo kuna msela anamega balaa nilikuwa nishagundua kitambo tu.
Inshort dogo akanipa tunda ila akaniambia mm nna msela wangu so tunamegana kisela we endelea na sister akija tumeendelea akaanza wivu na sasa yeye ndo main chick na dada yake kageuka mchepuko
 
Upumbavu wako ulikuwa ni kumsomesha chuo .
 
Huyu dada tulikubaliana penzi la kisela kama Vanessa na FA. Tena akasema hataki kupendwa wala kuonewa wivu. Kibaharia nikajua ana mwamba so coz mi sina future nae fresh ntagusa wororo nipite hivi. Ajabu ameanza kunifatilia mambo yangu. Akikuta naongea na simu muda mrefu hasa usiku anaanza kulalamika naongea na nani usiku wote au nna wananwake wengine. Mwanzo nilikuwa namkumbusha mimi na yeye hatuna feelings toward each other lakini sasa namuangalia tu. Kiufupi sina time nae na kashaanza kuwa kero kwa upande wangu. Mimi ninae mchumba ambae ni engineer nilisona nae na naogopa asije akafatilia akawasiliana nae akaniharibia trust niliyoijenga huko maana babe wangu yuko mkoa kikazi. Na mie nipo mkoa pia kwa hiyo sasa nataka nimtemr lakini anajua napokaa na nikimtema lazima atatimba kwangu, hofu kuna majirani wanamjua mamsap ikitokea kakiamsha lazima reporter wafikishe chap. Natamani nihame kwa ajili yake aisee.
VETA hawatoi Mainjiia, huyo ni fundi mchundo.
 
Back
Top Bottom