wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Amuua Mke na mwanaye kisa wivu wa mapenzi

    Muleba. Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Joachim Rwegasira mkazi wa kijiji cha Bushanga Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera kwa tuhuma za kumuua mkewe, Rosemary na mwanaye, Joiness na kisha kujijeruhi. Rwegasira anapatiwa matibabu hospitali ya Wilaya ya Muleba Rubya akiwa chini ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

    Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge. Ndugu zangu, naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha...
  3. sam green

    JamiiForums Tanzania Ushauri, nina wivu uliopitiliza

    Wana JF nimekuwa muhanga wa kuwa na wivu uliopitiliza katika mahusiano , sijui ni mimi tu au kuna wengne wana wivu kama mimi hii imekaaje wanaume wenzangu. 1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea na wanaume bila sababu ya msingi. 2.Napenda sana kufatilia simu yake muda mwingi huwa nampokonya...
  4. JMipicha

    JamiiForums Tanzania Punguza wivu kwenye mahusiano

    Habari wana JF nina imani mko powa powa sana. Nyungu muhimu sana . Twende kwenye mada mmoja kwa mmoja .. Wanaume kwa wanawake punguzeni wivu wa kijinga katika mahusiano maana Matokeo ya wivu huo ni mbaya Unakuta kila saa unampigia simu mkeo au girl friend wako kila saa una mtext kama...
  5. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanawake wana wivu na wanaume ambao sio wapenzi wao?

    Sijajua tatizo ni nini kwa wadada wa siku hizi unakuta una urafiki na msichana halafu inafika hatua ukimuelezea hisia zako anazingua na hataki kabisa hizo story za mapenzi yeye anataka muwe marafiki tuu au kaka na dada. Basi kwa ustaarabu unaamua muwe kaka na dada ambao mnasaidia katika shida...
Back
Top Bottom