Acheni wivu na kelele zenu za kijinga kwa Wageni wanaowinda kihalali,hizo chuki zenu ibaneni serikali yenu ibadili sheria mbovu!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!

Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!

Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.

Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!

Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.

Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!

Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
 
Ni vile leo wamewinda na kurekodi ila huwa wanawinda sana kwa vibali na hakuna mtu anasema chochote sababu Kuna kuwa hakuna video.
Wanawinda
Tembo
Swala
Twiga japo sio sana
Simba
Chui
Nyati
Kila mmoja hapo ana bei yake ukitaka kumpigia kitalii.
Mfano labda bei ni dollar 25000 kwa mnyama.
Sheria ipo na inatumika
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!

Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!

Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.

Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!

Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.

Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!

Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
Watakuwa walikuwa na vibali ila ninaona huko mitandaoni kimenuka hao jamaa mwaka jana wamelimwa fine ya kama milion 350 kwa uwindaji haramu huko sijui Marekani.
Pia watu wanawalaumu kwa kurekodi jinsi wanavyokuwa wanaua wanyama. Ni mtu na mkewe. Wazungu wamekasirika.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!

Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!

Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.

Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!

Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.

Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!

Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
Aisee ni wivu kabisa kuona kitoweo kinapepea ugahaibuni.
Hata hivyo ni vizuri kwa watu kutoa maoni yao ili hao wanaotunga Sheria wapate uchungu wa kuzipitia hizo Sheria kabla ya kushangilia na kuanzisha mijadala ya kupuuza wasomi.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!

Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!

Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.

Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!

Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.

Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!

Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
Vitalu vya uwindaji viko kibao hakuna ngozi nyeusi wanajua hili Dili,ukiacha wageni hapa Tanzania watu wa Asili ya Asia ndio pia wanajishughulosha na hizo biashara.
 
Bahadhi ya Sheria ni

Husiuwe mnyama jinsia ya kike

Husiuwe mnyama anayekunywa maji kipindi Una winda

Vibali vya uwindaji vipo kwa kanunia maalumu.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!

Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!

Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.

Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!

Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.

Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!

Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
Sahihi kabisa

Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla ni kituko sana huko Dunia ya Kwanza.

Kijana anaenda kuuza ngozi ya mamba kwao kwa kibali Cha million 2 Tu

Yeye anapata zaidi ya million 59+
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!

Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!

Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.

Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!

Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.

Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!

Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
acha wavune mkuu kwani wana faida gani hizo takataka
 
Wewe siyo serikali yako? Jinga kbs
 
Kwa hii Tanzania yetu tusiosoma tupo m30 watoto m10 wazee m7 walosoma m13
Nani atakuja kujua hata sheria za uwindaji zinavyosema ?
Watu wanapambana na maisha magumu watoto waende shule na wapate chakula japo mlo mmoja
Nani atajua habari za sheria za uwindaji huko selous Serengeti ngorongoro na kwingineko?
Zaidi ukipata kitoweo cha swala kula ila omba mungu usikamatwe maana jela nje nje
 
Back
Top Bottom