Hatuwezi kuwachukia wayahudi kwa wivu wa kijinga na husda na roho mbaya

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Dec 26, 2022
9,473
12,866
Wanatushawishi mara oooh wayahudi hawawapendi wakrsto wachukieni.

Ukiuliza tuwachukie kwa lipi utasikia allah kasema*sasa wakrsto na allah wapi na wapi"

Mara oooh walimuua issa mwarabu wa kwenye hadith za qur'an wachukieni. Sasa wakrsto na issa mwarabu wapi na wapi?

Sisi hatumtambui issa mwarabu bali yesu myahudi mwana wa mungu yehova myahudi

Mara ooooh mungu wetu wa kiarabu amewalaani wachukieni. Sasa wakrsto na allah wapi na wapi

Sasa kama mungu wetu yehova na mwanae yesu wamewabariki wayahudi na tumeamriwa tuwabaliki mnatulazimisha tuwachukie.

Mungu wetu mwenyewe ni myahudi. Tutachukiaje wayahudi?

Ugomvi wa waarabu na waislamu dhidi ya wayahudi sisi hautuhusu na mungu wetu yehova kasema wayahudi ni taifa teule.

Pambaneni na hali zenu...!!!!

Nb: since 1800,s mnatulazimisha wakrsto tuwachukie wayahudi ila mnapoteza mda sababu sisi tunamsikiliza yehova alichosema kwenye torati na biblia.

Najua inauma ila ukweli ndio huo chuki yenu na ubaguzi na husda na fitina haituhusu*
 
WANATUSHAWISHI MARA OOOH WAYAHUDI HAWAWAPENDI WAKRSTO WACHUKIENI...UKIULIZA TUWACHUKIE KWA LIPI UTASIKIA ALLAH KASEMA*SASA WAKRSTO NA ALLAH WAPI NA WAPI"
MARA OOOH WALIMUUA ISSA MWARABU WA KWENYE HADITH ZA QUR'AN WACHUKIENI...*****SASA WAKRSTO NA ISSA MWARABU WAPI NA WAPI??? SISI HATUMTAMBUI ISSA MWARABU BALI YESU MYAHUDI MWANA WA MUNGU YEHOVA MYAHUDI
MARA OOOOH MUNGU WETU WA KIARABU AMEWALAANI WACHUKIENI.....SASA WAKRSTO NA ALLAH WAPI NA WAPI
SASA KAMA MUNGU WETU YEHOVA NA MWANAE YESU WAMEWABARIKI WAYAHUDI NA TUMEAMRIWA TUWABALIKI MNATULAZIMISHA TUWACHUKIE...
MUNGU WETU MWENYEWE NI MYAHUDI....TUTACHUKUAJE WAYAHUDI?????
UGOMVI WA WAARABU NA WAISLAMU DHIDI YA WAYAHUDI SISI HAUTUHUSU NA MUNGU WETU YEHOVA KASEMA WAYAHUDI NI TAIFA TEULE.....
PAMBANENI NA HALI ZENU...!!!!
NB: SINCE 1800,S MNATULAZIMISHA WAKRSTO TUWACHUKIE WAYAHUDI ILA MNAPOTEZA MDA SABABU SISI TUNAMSIKILIZA YEHOVA ALICHOSEMA KWENYE TORATI NA BIBLIA.....
NAJUA INAUMA ILA UKWELI NDIO HUO CHUKI YENU NA UBAGUZI NA HUSDA NA FITINA HAITUHUSU*
Wakina nani hao?

Halafu mbona mnapenda sana nyuzi za dini?

Halafu Myahudi na Ukiristo wapi na wapi?
 
Yesu myahudi
Mariam myahudi
Petros myahyd
Yaakuv myahudi
Isaaq mhayudi
Moshe myahudi
Harun myahudi
Yoseph
Manase
Levi naye myahudi
Daaudi naye myahudi
Soleymani naye ni myahudi
Ibrahimi naye,
Isaiah naye
Yonas
Manabii wote wa Mungu wakatoka humo wakamtangaza Mungu na wema wake na rehema zake,ni shetani tuu ndiye mwenye wazo la kupigana vita na uzao mteule uliobarikiwa,kama maandiko yasemavyo(shetani ana hasira nao),ni ni ishara hasa ya kutimiza unabii wa biblia,wenye macho na mtambue.Mungu alifanya kazi na Hawa manabii Kwa miaka,Mungu asiyebadilika na asiye na kigeugeu kamwe hawezi kubadilisha kazi yake njema aliyofanya na Hawa manabii Kwa sababu ya hayawani mmja,tena haramia na bandit.sidhani kama Mungu anaweza kutumia haramia kama moja ya mitume wake.Mungu ibariki Jerusalem,Mungu ibariki Israel daima.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Mnanichekesha sana.... Hivi ushawahi fuatilia kabila lako kabla ya ukoloni ukajua Mila na dini yako...yaani umeletewa kitabu kimeandikwa Mungu wa kiyahudi na mitume wa kiyahudi na wewe unasema sawa...ehe na muislam nae anakuja na mtume muarabu...huoni huyu Mungu anatokea sehemu moja tu...Tena watu hao hao ndo wanaandika na kusema ndo Mungu wa wote ..🤣🤣hizi dini ni sawa na upofu
 
Hongera kwa bandiko zuri.
Lakini,
Wanakuja wale wapuuzi wa kujilipua ili wawahi kuzimu kwenye mito ya pombe na kufanya uzinzi na mapepo 72 wakupopoe.
WAPAMBANE NA KAMA WAMESHINDWA WASEME ILA HUO UPUUZI WAKRSTO HATUUKUBALI
 
  • Thanks
Reactions: K11
Yesu myahudi
Mariam myahudi
Petros myahyd
Yaakuv myahudi
Isaaq mhayudi
Moshe myahudi
Harun myahudi
Yoseph
Manase
Levi naye myahudi
Daaudi naye myahudi
Soleymani naye ni myahudi
Ibrahimi naye,
Isaiah naye
Yonas
Manabii wote wa Mungu wakatoka humo wakamtangaza Mungu na wema wake na rehema zake,ni shetani tuu ndiye mwenye wazo la kupigana vita na uzao mteule uliobarikiwa,kama maandiko yasemavyo(shetani ana hasira nao),ni ni ishara hasa ya kutimiza unabii wa biblia,wenye macho na mtambue.Mungu alifanya kazi na Hawa manabii Kwa miaka,Mungu asiyebadilika na asiye na kigeugeu kamwe hawezi kubadilisha kazi yake njema aliyofanya na Hawa manabii Kwa sababu ya hayawani mmja,tena haramia na bandit.sidhani kama Mungu anaweza kutumia haramia kama moja ya mitume wake.Mungu ibariki Jerusalem,Mungu ibariki Israel daima.
SISI HATUWEZI KUWACHUKIA WAYAHUDI NA WASITUPOTEZEE MDA
 
Ina maana sisi Waafrika Mungu hajatubariki? Hakuna nabii hata mmoja kutoka Africa?
 
Tukubali tukate kati ya watu wanaojua kushughulikia magaidi ni wayahudi
Mchina amejaribu
Mhindi amejaribu
Mzungu amejaribu
Lakini myahudi anapiga mpaka kitukuu

Mimi mtu yeyote anadhibiti gaidi nipo pamoja nae.
Wapigane waache kutulilia sisi wakrsto...hilo halituhusu
 
Tukubali tukate kati ya watu wanaojua kushughulikia magaidi ni wayahudi
Mchina amejaribu
Mhindi amejaribu
Mzungu amejaribu
Lakini myahudi anapiga mpaka kitukuu

Mimi mtu yeyote anadhibiti gaidi nipo pamoja nae.
Wayahudi nao ni magaidi , sasa sijui anashughulikia magaidi gani, wakat na wao ni magaidi
 
Back
Top Bottom