Usiamini sana watu, mtu ambaye hakuonei wivu ukimzidi ni Baba/Mama yako tu

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,373
Sijui kama ni Bongo au dunia nzima. Adui wa kudumu wa kukufanya uwe na taadhari ni wivu kwa wanaokuzunguka.

Usiwe mwepesi kufunguka kwa kula mtu. Hata aliyefanukiwa na tajiri akiona unapiga kahatua kidogo tu moyo unalipuka qnataguta namna ya kukupiga pini.

Ujumbe ni kwamba Ukiacha Mjngu mwingine ambaye hataona wivu ukimzidi ni mzazi aliyekuzaa tu.

Ukionq unaonewa wivu, usipanic, hizo signal utakutqna nazo hadi unaenda kaburini.
 
na kuna muda hata mzazi anatamani watoto wake wawe na kipato wote. sasa kama umezidi sana wenzio napo.....
Ukimzidi anajua na yeye atakuwa ni mtufaika kwa vilivyozidi. Ila familia ikiwa na uchawa na kuuana na ndugu choka mbaya ndio utaleta wivu mpya.
 
Back
Top Bottom