wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
  2. FINANCIAL MARKET

    JamiiForums Tanzania Zikumbatie na zilinde kwa wivu hizi rasilimali zako nne muhimu ili ufanikiwe, zinawindwa na wengi

    Rasilimali ya kwanza: ✅Uwezo mkubwa ulio ndani yako. Kila binadamu aliye hai, ana uwezo mkubwa na wa kipekee kabisa ambao upo ndani yake. Huo ni uwezo ambao akiweza kuutumia anaweza kupata chochote anachotaka kwenye maisha yake. Kwa bahati mbaya sana, wengi wanapuuza uwezo wao na kuishia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze tofauti kati ya wivu na kutojiamini kwenye mahusiano

    Wivu kwa maana rahisi ni kutojiamini muda wote unahisi kuna watu wenye sifa zaidi yako watakuibia mpenzi wako, Wivu hukoleza mapenzi. Kutojiamini ni wivu uliopitiliza kiasi yaani muda wote unahisi umpendaye ana njama mbaya dhidi yako kiasi cha kila siku kuwa na migogoro isiyoisha,Kutojiamini ni...
  4. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnaobeza na kukandia 'watoto wa 2000s' mna hoja au ni wivu tu na maslahi binafsi?

    Aaah yamenifika hapa! Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone. Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa basi nasema nilikuwa nimelewa au nilishinikizwa. Puuzeni kauli hiyo na mnisamehe bure, nimezaliwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wakwe watunzwe kwa wivu mkubwa

    Wakwe ni watu muhimu kuliko tunavyodhani. Bila wao hakuna ndoa. Hivyo watunzwe Kwa wivu mkubwa kulinda heshima yao. Asanteni
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi. Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Man beaten into comma for stabbing lover downtown Kampala

    Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on April 18, 2024. The woman was the first to be evacuated by a military patrol truck to hospital with a...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Uzalendo na utumishi waliokuwa nao akina Sokoine, Warioba haupo tena, waliopo ni wote ni wezi tu wenye wivu

    Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka kumwonea mwenzako wivu mbaya

    Mtu mmoja aliomba, "Mungu, naomba unibariki mimi na mke wangu na mtoto wangu John na mke wake. Sisi wanne tu, na si zaidi" Hiyo inatoa picha jinsi binadamu alivyo mbinafsi kwa asili. Ndiyo maana watu wengine hupika kiwango cha ustaarabu wa mtu kwa kuangalia kiwango ambacho amefanikiwa kuushinda...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kinachosababisha watu wengi kuharibu maisha ya watu makazini ni wivu, uchawi na kufuatilia maisha ya mtu ambayo hayana mahusiano na kazi mnayofanya

    Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini? Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini? Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini? Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Islamic Scholar anasema Waislamu wanaonewa wivu na dini zingine sababu ya Warembo Mabikra 72 watakaopewa Peponi

    Islamic scholar anasema People are jealous of our 72 virgins, tazama mwenyewe video
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mungu mwenye wivu; kwanini Mungu kuwachukua mapema wale tunaowasifu na kuwategemea kupitiliza?

    Kama kuna hatari unaweza kumsababishia ndugu, rafiki, kiongozi au yeyote unayemuhusudu ni kumsifia na kumtegemea kupitiliza. Mungu mwenye wivu huwa anawasaidia wanadamu wanaowategemea kupitiliza wenzao tena kuwapa sifa kinafiki au kihalali kwa kuwapumzisha makaburini mapema wategemewa hao. Hii...
  13. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Mke amuunguza mumewe sehemu za siri na maji ya moto kisa wivu wa kimapenzi

    Mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Kebogwe iliyopo Wilaya ya Tarime, ameunguzwa na mke wake na maji ya moto sehemu mbalimbali za mwili hasa sehemu za siri kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi Shuhuda wa tukio wanadai siku ya Jumatano jioni mwalimu alimkuta mke wake duka fulani na...
  14. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

    Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Mwassa Awasihi Wananchi Kutochafua Ziwa Victoria Walilinde kwa Wivu Mkubwa

    RC MWASSA AWASIHI WANANCHI KUTOCHAFUA ZIWA VICTORIA WALILINDE KWA WIVU MKUBWA Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajat Fatma Mwassa amewataka Wananchi na wadau wa usafirishaji wanaofanya shughuli ndani ya Ziwa Victoria, kutofanya yale yote yanayoweza Kuathiri au kusababisha uchafuzi wa Ziwa Victoria...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, Umewahi kupata kipigo toka kwa kaka zake na mpenzi (demu) wako bila kosa kwa wivu tu wanakufungia ndani kwao wanakupinga kama Mbwa?

    Shalom, Nimekumbuka hii story ya siku nyingi sana mtoto mmojawapo wa marehemu Advocate na pia Mwalimu Masumbuko Lamwai, alikuwa na demu wake mmoja hivi kitambo sana miaka 21+ hivi nyuma. Huyu kijana wa Lamwai alikuwa na demu ambae huyo demu alikuwa na kaka zake kadhaa, kuna siku mtoto wa Lamwai...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Utofauti kati ya Wivu na Chuki

    WIVU - ni kutamani walichonacho wenzio. CHUKI - chuki nikutamani walichonacho wenzio na kutaka wao wasipate Ila upate wewe. MTU mwenye wivu anasumbuliwa na tatizo la scarcity mindset. Ila MTU mwenye chuki anasumbuliwa na Poor self-worth Hivyo MTU mwenye chuki ni hatari Sana kuliko hata MTU...
  18. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vinaoneana wivu, ni nani mwenye urafiki na upinzani kwa CCM?

    Vyama vya upinzani vya Tanzania ni kama wapo kwenye league ya kuoneana wivu. Ni chama gani chenye urafiki na ushindani kwa chama tawala CCM, hii ni toka utawala wa Samia uanze. Hali hii inanishangaza sana.
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ajinyonga hadi kufa kisa wivu wa kimapenzi

    Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya...
  20. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili. Tukio hilo limetokea majira ya saa...
Back
Top Bottom