Wimbo wa Supa Woman ni mzuri sana Pongezi kwa waimbaji

Martin Kemosabe

Senior Member
Jan 28, 2020
168
78
Hongereni wanawake wote nimependa wimbo wenu wa supa woman,ki ukweli ni wimbo mzuri sana Hongereni kina mama Wasanii mlioimba hongereni mmeutendea wimbo haki yake.

Vitu nilivyopenda kwenye huu wimbo wenu
  • Kiitikio chenu kinanifanya niweke A-B ijirudie sichoki kabisa
  • mdada aliepiga hicho kifaa hapo mwishoni amependezea sana
  • nimefurahi kumuona HAWA (nitarejea) napenda sana kumuona huyu dada aki smile
  • sehemu wanataja majina ya supa woman nmependa sana waliotajwa hasa mama rwakatare
  • kipisi cha gigy money kitamu sana nimekipenda
  • dada alievaa gauni la blue nmependa gauni lake + changamka yake yani yuko mmuuaaaaah
  • mdada alieimba kiitikio cha supa woman oooo ana sauti nzuri sana
Ambao hamjauangalia huu wimbo uangalieni ni wimbo mzuri sana,kina mama Mna raha sana hongereni zenu,lakini hongera sana mtunzi wa huu wimbo mwanadada ZUCHU akishirikiana na Diamond Platnumz.

Mbona hawajamtaja Halima Mdee au sio Superwoman nae...?

Halafu mbona Shishitrump simuoni humo hawajautendea haki huu wimbo kwa kweli...?
 
Hayo mambo ya superwoman ni mwendelezo wa kumkandamiza mwanaume awe kama pazia tu ndani ya nyumba na kwenye jamii kiujumla, hakuna jipya..
 
Hayo mambo ya superwoman ni mwendelezo wa kumkandamiza mwanaume awe kama pazia tu ndani ya nyumba na kwenye jamii kiujumla, hakuna jipya..
..................Hakuna kitu kama hiko mkuu,kama wewe ni mwanaume wewe ni mwanaume tu hawana la ziada zaidi sana wataji-mwambafy mbele ya wanaume zao mwisho wa siku watazalishwa watatupwa na kujikuta single mama wa wakuwaowa hakuna.

Huu ujinga wa “tunaweza tunaweza” umewafanya wengi wana maisha magumu ajabu,yupo mwendawazimu mmoja akijiita somebody Kiria aliwapoteza sana namfahamu dada mmoja alikuwa shabiki wake akaanza kumletea mumewe ujinga aliokuwa akiusikia kwa yule mal@¥@ sasa hivi ni aibu maana anatembeza mboga mboga kwenye basin kichwani ndoa ilivunjika.anajuta!!!

Uanaume wako una thamani usibabaishwe na hivi viumbe,tupo duniani tuheshimiane ikitokea amekuletea ujinga achana naye wapo wanaoitafuta hiyo nafasi utawapata.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hongereni wanawake wote nimependa wimbo wenu wa supa woman,ki ukweli ni wimbo mzuri sana Hongereni kina mama Wasanii mlioimba hongereni mmeutendea wimbo haki yake.

Ambao hamjauangalia huu wimbo uangalieni ni wimbo mzuri sana,kina mama Mna raha sana hongereni zenu,lakini hongera sana mtunzi wa huu wimbo mwanadada ZUCHU akishirikiana na Diamond Platnumz.

Watanzania kwa kuiga bwana. Huu wimbo umechukua tune ya wimbo wa Mafikizolo wa South Africa wa Ndihamba Nawe

Back
Top Bottom