Nautafuta wimbo wa reggae unaoitwa Money Money pesa ulioimbwa na mbongo miaka ya 90

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
2,820
2,755
Wakuu kwema?
Kuna msanii wa reggae mbongo jina limenitoka
Aliimba nyimbo nyingi ila ninayoikumbuka sana ni ile ya Money Money Pesa
Nyimbo hii iliimbwa miaka ya tisini
Kwa anayemjua msanii na mwenye wimbo auweke hapa
Natanguliza shukrani
 
Unazungumzia wimbo wa 20 percent jamaa aliimba money money money umesababisha nikutoroke..... .. maisha ya bongo nk
 
Wakuu kwema?
Kuna msanii wa reggae mbongo jina limenitoka
Aliimba nyimbo nyingi ila ninayoikumbuka sana ni ile ya Money Money Pesa
Nyimbo hii iliimbwa miaka ya tisini
Kwa anayemjua msanii na mwenye wimbo auweke hapa
Natanguliza shukrani
nadhani innocent galinoma au justin kalikawe ndo aliimba
 
Mimi natafuta wimbo wa Senzo unaitwa Dark days mwenye nao anisaidie wakuu

"usipoteze muda kutazama muda"
 
Back
Top Bottom