Diamond aachia kionjo Cha wimbo wake

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,557
18,881
Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz a.k.a baba lao wakati akiwa insta live akiwasiliana na mashabiki wake wa nchi tofauti tofauti ikiwemo kujibu maswali ya mashabiki wake akaamua kutoa kionjo Cha Baadhi ya mashairi ya moja ya wimbo wake ambao upo kwenye stoo ya nyimbo zake.

Kama ajatoa hiko kionjo akasema hii ngoma ni maalumu kwa Tanzania na East Africa sio ya international ni wimbo ambao ni una mashairi Sana ni wimbo wa taratibu alafu unaweza kusikiliza kwa muda mrefu bila kuuchoka kutokana na ufundi nilioutumia kuandika, Melody nzuri pamoja na production iliyotumika.Baadhi ya mashairi ya hiyo kionjo ni Kama ifuatavyo

"Si ugoko si kandambili,yaani vyote havikupendezi"
"Mwana ngoko usionawili,yaani tope usionautelezi"
"Utaishia kututabili,tubomoke inapita miezi"

"Ona umekosa nuru bahati huna,unaitwa kunguru ukifika wananuna
"Ndondondo mwanachururu asiyekuchuna,mengine nisikufuru"
 
Huyu Diamond trend za youtube zitamuuwa kha..kila siku new song anachosha
 
Mbona anaanza kujitetea eti siyo ya kimataifa, yakimataifa aliyotoa ni ipi? Au zile za kucopy copy haka kajamaa kameishiwa kameona Kik ya tanasha imebuma kameamua kumtungia wimbo wa taarabu ili kabust kik
 
Back
Top Bottom