Huu wimbo na kaimba?

Huu wimbo na kaimba?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,195
Reaction score
25,904
Kuna ngona moja hiv nasikia Sana mtaani na moja Kati ya mistari inasema hiv

Naisikuibiwa,nachanganyikiwa
nimechoka kusubili mbona utokei.

alafu chorus yake ni "kaputa" sijui nitakuwa nipo sahihi na hili neno.waimbaji wapo wawili mwanamke na mwanaume.
 
Back
Top Bottom