Dodoma: Kikao cha Bunge chaanza, wimbo wa Taifa waimbwa na kwaya maalum

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,886
141,819
Karibuni.

UPDATES:

Spika anawakaribisha wabunge na kuwapa salamu za Rais Magufuli na kwamba wasishangae endapo mh Rais atawatembelea hapo bungeni wakati wowote kabla ya 30/6/2020.

Kadhalika Spika amesema Waziri mkuu yuko Dar akiratibu shughuli za kudhibiti Corona ila kesho atakuwepo Bungeni.

Hawaogopi korona au dawa tunayo ndio maana hata hatuna wasiwasi?
 
Bunge ambacho ndiyo kikao kikubwa kabisa ndani ya taifa letu leo kinaanza rasmi kule Dodoma lakini wananchi almost 90% hawana hata muwasha washa wa kujua ni nini kinakwenda kujadiliwa huko - yaani Bunge limefikia stage kama vile kikao cha chama cha kata

Bunge limekosa mvuto kabisa !! kuna jambo halipo sawa hapa.
 
Toka niwe mfuayiliaji Mambo ya Bunge hamna kipindi Cha hovyoo ambacho Bunge halina thaman Kama hili, Raia hawajui Kama Kuna Bunge linaendelea, Bunge limekosa mvuto, limekuwa la kusifu na kutetea serikali badala ya kutetea raia wake.

Natoa wazo ipitishwe sheria kabisa kwa wabunge walau wawe na elimu ya kuanzia ( form vi ) six hii itatupa watu amabao wanaweza kusimamia muhimili mwingne, wenye kufanya reasoning, sio Hawa kina mlinga kila siku kuomba miongozo na utaratibu kwa Mambo muhimu ya Nchi.

Kama polisi wanachukukliwa kuanzia form iv na kazi zao hazihitaji kutumia akili sanaaaaa, leo Mbunge ambaye ndiye mtunga sheria wa Taifa Hana qualifications zinazomtaka awe nazo?? Mbali na yakujua kusoma na kuandika!!!!

Zama zimabadilika watanzania tunahitaji wabunge wenye uwezo wakuhoji na kuikosoa serikali bila kujali itikadi ya vyama.
 
Ahsante mkuu, naona umewahurumia sana.

Kwa sasa mimi naona Mbunge aanze na minimum qualification ya diploma angalau.
Tuna wabunge wengi wasioweza lolote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge ambacho ndiyo kikao kikubwa kabisa ndani ya taifa letu leo kinaanza rasmi kule Dodoma lakini wananchi almost 90% hawana hata muwasha washa wa kujua ni nini kinakwenda kujadiliwa huko - yaani Bunge limefikia stage kama vile kikao cha chama cha kata

Bunge limekosa mvuto kabisa !! kuna jambo halipo sawa hapa.
Kikao cha Bunge kimekosa mvuto kama kikao cha harusi cha masela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka niwe mfuayiliaji Mambo ya Bunge hamna kipindi Cha hovyoo ambacho Bunge halina thaman Kama hili, Raia hawajui Kama Kuna Bunge linaendelea, Bunge limekosa mvuto, limekuwa la kusifu na kutetea serikali badala ya kutetea raia wake.

Natoa wazo ipitishwe sheria kabisa kwa wabunge walau wawe na elimu ya kuanzia ( form vi ) six hii itatupa watu amabao wanaweza kusimamia muhimili mwingne, wenye kufanya reasoning, sio Hawa kina mlinga kila siku kuomba miongozo na utaratibu kwa Mambo muhimu ya Nchi.

Kama polisi wanachukukliwa kuanzia form iv na kazi zao hazihitaji kutumia akili sanaaaaa, leo Mbunge ambaye ndiye mtunga sheria wa Taifa Hana qualifications zinazomtaka awe nazo?? Mbali na yakujua kusoma na kuandika!!!!

Zama zimabadilika watanzania tunahitaji wabunge wenye uwezo wakuhoji na kuikosoa serikali bila kujali itikadi ya vyama.
Kusoma sio hoja, mbona wabunge wa ccm ukiacha kina Lusinde, wapo walio soma vizuri tuu lakini ukimpa nafasi azungumze ni kichefuchefu mtupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawaogopi korona au dawa tunayo ndio maana hata hatuna wasiwasi?
Hao ccm baada ya kushindwa kufungua viwanda sasa wanataka kuzigeuza taasisi za serikali kuwa ndio viwanda vya kusambaza virusi vya korona.
 
Nani alikudanganya uwezo wa reasoning unabebwa na vidato?
Unawajua wasomi walioko humo na reasoning yao inazidiwa na akina Kishimba ambao hawakwenda shule?
Navyoona hata wewe uwezo wako wa kuchambua mambo unapaswa kuhojiwa,na iwapo ni msomi,basi hili ni janga kubwa sana.
Toka niwe mfuayiliaji Mambo ya Bunge hamna kipindi Cha hovyoo ambacho Bunge halina thaman Kama hili, Raia hawajui Kama Kuna Bunge linaendelea, Bunge limekosa mvuto, limekuwa la kusifu na kutetea serikali badala ya kutetea raia wake.

Natoa wazo ipitishwe sheria kabisa kwa wabunge walau wawe na elimu ya kuanzia ( form vi ) six hii itatupa watu amabao wanaweza kusimamia muhimili mwingne, wenye kufanya reasoning, sio Hawa kina mlinga kila siku kuomba miongozo na utaratibu kwa Mambo muhimu ya Nchi.

Kama polisi wanachukukliwa kuanzia form iv na kazi zao hazihitaji kutumia akili sanaaaaa, leo Mbunge ambaye ndiye mtunga sheria wa Taifa Hana qualifications zinazomtaka awe nazo?? Mbali na yakujua kusoma na kuandika!!!!

Zama zimabadilika watanzania tunahitaji wabunge wenye uwezo wakuhoji na kuikosoa serikali bila kujali itikadi ya vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kwaya maalumu? Vipi kuna kaswida maalumu pia huko?
KWAYA SIO UKRISTO SHEKH. soma hapa tofauti ya kwaya na kaswida.

Kwaya (kutoka Kiingereza "choir" au "quire") ni kundi la waimbaji au uimbaji wa watu kwa pamoja.

Kuna aina mbalimbali za kwaya lakini hapa tunaorodhesha baadhi tu ya aina hizo.

  1. Kwaya ya wanawake: Hii ni kwaya inayojumuisha wanawake (watu wa jinsia ya kike) pekee bila wanaume (watu wa jinsia ya kiume). Kwaya ya namna hii kwa kawaida huwa na sauti mbili tu, yaani sauti ya kwanza (Soprano) na sauti ya pili (Alto).
  2. Kwaya ya watoto: Hii ni kwaya inayoundwa na watoto tu. Kwaya hii nayo kwa kawaida huwa na sauti mbili kama ilivyo kwaya ya wanawake pekee.
  3. Kwaya ya wanaume: Aina hii ya kwaya hujumuisha wanaume pekee. Hii pia huwa na sauti moja hadi mbili kwa kawaida, lakini wakati mwingine huwa hata na sauti zote nne. Hii sasa si kwa kwaya ya wanaume tu bali hata kwaya ya wanawake pia hata ya watoto kufuatia maendeleo ya kimuziki wataalamuwameendelea kugundua uwezekano wa kutengeneza sauti zote nne kama ilivyo katika kwaya ya mchanganyiko.
  4. Kwaya ya mchanganyiko: Hii hujumuisha wote, wanaume na wanawake hata na watoto pia. Kama yalivyo maelezo ya hapo juu; aina hii ya kwaya kwa kawaida huwa na sauti zote nne yaani yaani sauti ya kwanza (Soprano), sauti ya pili (Alto), sauti ya tatu (Tenor) na sauti ya nne (Bass).
KASWIDA
Kaswida au Kasida (kutoka قصيدة, qaṣīdaᵗ, neno la Kiarabu lenye maana ya muziki) ni tungo zinazoghaniwa ili kumsifu Muhammadhasa katika adhimisho la Maulid[1] au mtu mwingine, kitu au jambo maalumu.

N.b
Kwaya kikundi cha muziki kwa lengo tofauti kama dini(kanisani), siasa(kama TOT),sherehe z kitaifa kama zile band za majeshi n.k
Kaswida ni kikundi cha muziki chenye lengo moja tu la kumsifu mtume mohamed.
Kwahiyo basi bungeni si mahala pake. Ni msikitini na kwenye shughuli za kiislamu.
 
Back
Top Bottom