Swali: Wimbo wa Gere haupo trending au umekuwa replaced na Jeje? Kwa nini haupo kabisa kwenye 50s

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,785
Wimbo wa Gere ulikuwa Trend no. 1 juzi yu, na then umekuwa replaced no. 1 na Jeje

Jeje kuwa no. 1 kwa popularity na power ya Diamond haina la kushangaza

Ila iweje Gere umepotea kabisa? Ungekuwa angalau no. 3, 4, Hata 10, 30, hata 40.. HAUMO

Wimbo kama wa haujanikomoa ni wa 49 sasa it makes a lot lf sense

Wimbo wa Rayvanny mama la mama haumo kabisa umekuwa replaced na vumilia!!

Inawezekanaje Trending No. 1 ikapotea ghafla hata isiwemo kwenye 50s trending

Wadau naomba majibu
 
Angalia tena vzr
Screenshot_20200227-113320_YouTube.jpeg
 
Thanks mkuu iko vizuri hii ila kwa No.1 tu

Ila moja inaweza kuwa ya kwanza na ingine ya 20??

Kuna vigezo vinavyofanya nyimbo kuwa kwenye trending kwa namba tofauti... Muda wa video kupakiwa, watazamaji, na muendelezo wa kutazamwa au kutafutwa sana kwenye mtandao kwa muda husika.
 
Wimbo unapozidi kutafutwa na kutazamwa sana ndio nafasi ya kuwa trending huwa inapanda...
 
Kwasababu Trending zake zinategemea ukubwa wa PROMO.

Siyo Natural Trending.

Hivyo akiacha promo tu, everybody gives that shit a boot.

Na akihamishia promo kwenye wimbo mwingine, ndio utakaotrend tena
 
Wimbo wa Gere ulikuwa Trend no. 1 juzi yu, na then umekuwa replaced no. 1 na Jeje

Jeje kuwa no. 1 kwa popularity na power ya Diamond haina la kushangaza

Ila iweje Gere umepotea kabisa? Ungekuwa angalau no. 3, 4, Hata 10, 30, hata 40.. HAUMO

Wimbo kama wa haujanikomoa ni wa 49 sasa it makes a lot lf sense

Wimbo wa Rayvanny mama la mama haumo kabisa umekuwa replaced na vumilia!!

Inawezekanaje Trending No. 1 ikapotea ghafla hata isiwemo kwenye 50s trending

Wadau naomba majibu
Hao u tube si wanaichezeaga huwajui?...wasikusumbue wazee wa robot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom