Anayepiga ngoma kwenye wimbo wa Lucky Dube, Back To My Roots, ni hatari

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Anayemjua please atujulishe ni nani hyu mwamba anayecharaza bati kwenye huu wimbo wa hayati Lucky Dube Back To My Roots. Yani ni sheeda; anapiga ngoma vibaya sana. Huyu ni nouma dah yani sheeedah

Anayemjua please atujulishe ni nani hyu mwamba anayecharaza bati kwenye huu wimbo wa hayati Lucky Dube Back To My Roots. Yani ni sheeda; anapiga ngoma vibaya sana. Huyu ni nouma dah yani sheeedah

Ngoja wanaomfahamu waje, ila ni kusahihishe kidogo wimbo ulioweka unaitwa I've got na sio back to my root kama ulivyoandika​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom