Wimbo wa "Congratulation" katika Albam ya Antibioticcs ya Don Nalimison umetoka rasmi leo

Mkuu, kupitia nyuzi zako inadhihirisha una mipango na mambo Mengi sana uliyoyafanya na unayotaka kufanya.

Hili ni ishara ya kimoja kati ya viwili, pengine una akili sana mpaka zinakuaminisha kila kitu kiko ndani ya uwezo wako au inawezekana pia kwenye akili kuna TATIZO mahala.
 
Back
Top Bottom