Naomba wimbo huu uwe dedicated kwako kipenzi chetu Iron lady Halima Mchuka

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,993
Kila Mara nisikiapo wimbo huu wa mahadhi ya ki Swedish kutoka kwa Abba huwa nakukumbuka wewe. Umetutoka miaka kadhaa nyuma kipindi Kama hiki.

Ulifanya utoto wangu kuwa remarkable. I love U Halima, ungalikuwa Dar ningalikuja ingawa hunijui. Msalimu Jackob Tesha, Tumbo lisasi na Ezekiel Malungo, Mzee wa TBC alidhio Marin Hassan Marin asiwe mpweke huko.

Unakumbukwa na Bakari Msulwa na Manju wa muziki, Charles's Hilaly bado anapambana. Bety Tesha anajaribu kuvaa viatu vyako huku
Nitakumbuka daima nyakati nzuri pamoja nawe Halima Mchuka Pascal Mayalla

 
images (7).jpeg
 
Hao wote ulowaorodhesha walikuwa wana taaluma ya kweli na mapenzi na kitu walichokuwa wanakifanya na wabunifu pia
 
Back
Top Bottom