wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Harmonize atoa wimbo mpya, asema yeye ndio mfalme hana haja ya kuongea tena, anauacha mitaa iongee

    Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa ufupishwe

    Time management, tuokoe muda wa kuimba wimbo mrefu bila sababu. Afrika (AU) ina wimbo wake, SADC ina wimbo wake na East Africa ina wimbo wake pia hivyo Tanzania hatuna sababu ya kurudia kuimba wimbo wa kuiombea Africa kwenye wimbo wetu. Kufanya hivi ni kurudia bila sababu kile kinachofanywa na...
  3. Haitham Kim

    JamiiForums Tanzania Sikiliza wimbo wangu mpya CHANGANYA

    audiomack.com/haitham-kim/song/changanya
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye huu wimbo wa TOT kumuaga Magufuli naomba anisaidie wapendwa

    Kuna wimbo wa TOT wa kumuaga hayati Magufuli una kiitikio kinaimba, "Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamwe hatutamuona tena" Hayati mpendwa Magufuli Kipindi chake duniani Japo kilikua kifupi yale alomwangazia, ameyatimiza kikamilifu Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamqe hatitamuona tena"...
  5. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Nautafuta wimbo huu wa dini

    Salaam wakuu. Jana nilikuwa msibani, kuna wimbo niliusikia melody na mashairi yake yalinivutia. Bahati mbaya nimeufuta kimakosa baada ya kurekodi. Baadhi ya maneno yake ni 'Mwamini Mungu ewe mwandamu kwa roho na moyo mmoja Usijigambeee, usijitapee'. Ni wimbo wa kwaya na si mtu mmoja na lead...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe huu wimbo unaitwa walk of life mimi nilidhani unaitwa 'wuuhuu'

    Mzuka wanajamvi! Nilikuwaga nausikiaga kwenye redio sana kipindi cha nyuma. Muda wote huo mimi nilidhani unaitwa 'wuu-huu' kumbe unaitwa walk of life umeimbwa na kundi flani Dire Straight. Nimeshtukizia tu nauona youtube usiku huu. Radio one walikuwaga wanauchezaga sana.
  7. Leak

    JamiiForums Tanzania Msanii Zuchu ameshauriwa na nani kutoa wimbo huu wa Meja Kunta. Mashabiki tumepigwa hakika

    Msanii Zuchu kaingia rasmi kwenye singeli baada ya kutamba na kibao cha sukari. Kwa habari nilizonazo huu wimbo aliyoimba na kuutoa leo ulikuwa wimbo wa Meja kunta na Msanii Zuchu kauziwa. Nimepata wasaha kuusikiliza wimbo husika ni wazi kabisa wamelipa hela za bure. Kwa level za wimbo wa...
  8. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Program ya kuandika wimbo kwa Notation na kutengeneza sauti

    Habari wakuu, Nahitaji program itakayonisaidia kuandika nyimbo kwa staf notation pamoja na kupangilia sauti kwenye kwaya. Msaada tafadhali
  9. M

    JamiiForums Tanzania "Faili halionekani": Wimbo unaotawala mgando wa kutoa haki kwa wakati kwa baadhi ya kesi za rufaa kutoka kwenye mahakama ya kazi Dar es Salaam

    Inategemewa na vilevile kutumainiwa sana na kila mwananchi kuiona mahakama kama chombo kitukufu, kinachoaminika na chenye; weledi kiutendaji, chenye maadili, na mfano wa kuigwa kiuwajibikaji panapo hitaji hilo. Pamoja na kuwa ni muhimili unaojitegemea, yanayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya vituo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania BASATA, huu wimbo wenye maneno "dela jipya, chupi la zamani", haudhalilisha wanawake, na kwanini msiupigie marufuku?

    Wadau, kwa wale mliosikia huu wimbo, maneno hayo kweli yanafaa kutumiwa kwa wimbo unaopigiwa katika vituo kama vya radio, kwenye daladala na sehemu nyingine za public? Binafsi maneno hayo naona yana ukakasi na hivyo nashauri huu wimbo upigwe marufuku na ufanyiwe marekebisho ndio uruhusiwe...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Haka kanyimbo si kakusikiliza ukiwa umepitia break up. Wimbo mtamu huu nyie kha

    Intro: Nviiri the Storyteller (Ohh, mmh) Ohh What a waste Oh, Lord The Storyteller, ayy Verse 1: Nviiri the Storyteller What a waste Baby tumejiseti, we on the highway Tukafunga breki, tukaanza bishana Asking, “Who is Diana? Vipi mnajuana?” I swear tumeji-betray, baby tumejiseti ‘Cause love...
  12. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

    Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna ---- Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa nchi za Afrika zinazoimba nyimbo za Taifa kwa lugha za kigeni

    Zamani hata kabla ya kuja wageni na dini za kigeni waafrika walimwomba Mungu kwa lugha zao na kulikuwa na matokeo ya haraka sana kuliko sasa katika dini za kigeni. Kuimba wimbo wa taifa kwa Kiingereza au Kireno au Kiarabu au Kifaransa hii ni sawa na kumkosea Mungu heshima, naipongeza Tanzania...
  14. kibaWaKitaa

    JamiiForums Tanzania Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

    Tukianza na mm km mimi wimbo wangu pendwa kutoka kwa mfalme huyu wa bongo fleva ni "MBIO". Kwanini mbio?ni wimbo ambao uandishi wake naupa 100%...melodies99.9%...beat..99.8%...mm co mtaalam sana ila naeza sema utunzi wake umejitoshelezaa.! Wewe je ni upi wimbo wako pendwa na kwanini!?
  15. Slowly

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Paula wa Kajala amepost wimbo wa Mme wake "Kelebe" aliomshirikisha Innoss b

    Baada ya Vannyboy mtu mbaya kuachia "lisong" akiwa amemshirikisha mega star from Kongo Innos b , goma linalokwenda Kwa jina la "KELEBE"ambalo kwa sasa ndo habar ya mjini.... Goma Hilo lililogonga views "kilo " na usheee ndani ya saa moja ,limechanja mbuga huko YouTube na sasa linatambaa pale...
  16. O

    JamiiForums Tanzania PADI WUBONN mkenya huyu akiigiliziia wimbo wako anakupotezaaa kabisaaa

    Huyu mkenya comedian akiigilizia wimbo wako utanuna anakupoteza.drake Mwenyewe alinuna ule wimbo wake wa gods plan mpaka akamnunia huyu mkenya.ila kiukweli Jamaa in balaa
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Mjue Mtunzi halisi wa Buffalo Soldier ambao ulipewa umaarufu na Bob Marley

    Wanangu hamjamboni? Leo tujikumbushe mambo ya kizamani kidogo hasa wapenzi wa reggae kama mimi baba yenu. Japo marehemu Bob Marley aliufanya wimbo wa buffalo soldier maarufu, mtunzi wake ni Giddes Chalamanda toka Malawi. SIkiliza hiyo kitu utajua na kuamini ninachowambia baba yenu.
  18. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Leo nimepata wasaa wa kusikiliza na kuangalia wimbo mpya wa kijana Harmonize

    Kiufupi ni hamna kitu pale zaidi ya kelele nyingi wala huelewi mtu huyu anasema nini. Amejitahidi kiasi chake kufanya hii remix ya wimbo wa Awilo wa miaka mingi ya zamani ila asikate tamaa akazane atafika.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Tuongee hili in deep, hivi views ndo kigezo Cha wimbo kuwa Bora, au ni popularity? Harmo ,mond wanahusika

    Tusiongee Sana, hivi msanii akitoa wimbo ukawa na views wengi inamaana ndo mziki mzuri , au views inategemeana na popularity ya aliyeutoa mziki huo. Kwasababu Kuna miziki ukisikia ni ya kawaida Ina views wengi, Ila Kuna mwingine mikali Ina views wachache. Nachanganyikiwa. .tuchukulie mfano...
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Kwanini Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipenda sana wimbo wa "Baba" wa Stamina na Prof. Jay?

    Habari wanajamvi..! Leo nimejiuliza hivi kwa nini hayati alipenda sana wimbo wa baba ,kiasi ambacho hata kwenye uzinduzi wa studio za Channel ten akaomba apigiwe wimbo wa "Baba "wa Stamina na Prof Jay aliyekuwa mbunge wa Mikumi??
Back
Top Bottom