Yeyote mwenye nyimbo original za cosmas chidumule za "libarikiwe neno hili" na "ya nini mizigo hiyo" naomba anisaidie whatsapp no 0717297545
Kwa upendo wa kristo.
Hata baadhi ya watu wakitaka kutunyamazisha basi mawe yataongea.
Wasanii wametoa wimbo wa Mbowe siyo Gaidi.
Wacha tuusikilize ndugu wazaleeendo wenzetu.
Shaloom wakuu,
Tasnia ya muziki wa injili kwa vikundi vya kwaya hapa Tanzania ni tasnia kongwe na iliyotawala zaidi kwenye chati za nyimbo za dini ya Kikristo mpaka ilipofikia miaka ya 2000's ambapo walianza kuibuka waimbaji wa kujitegemea wa nyimbo za injili na kwa wingi wao imepelekea...
Heshima kwenu wakuu...?
Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu.
Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu.
Natanguliza shukran...
Mtangazaji wa kituo cha redio cha East Africa Radio kwa zaidi ya miaka 13 akitambulika hasa katika kipindi cha Planet Bongo, Abdalah Ambua a.k.a Dulla planet Ambua ameachia wimbo wake wa kwanza kwa jina la Unaendaje
Wimbo wake ameuchia leo na mara ya kwanza umepigwa kwenye kipindi cha planet...
Mh mbowe Sina zawadi ya kukupa Ila kwa upendo mkubwa Sana Mimi na familia yangu tulionao kwako tunakupa zawadi ya wimbo wa MICHAEL JACKSON ; YOU ARE NOT ALONE. Barikiwa.
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
Wamarekani washamchoka huyu mzee 😂 😂 atafutiwe tu kitanda alale
wimbo huu umebanwa sana kutojulikana ila kwa jinsi biden alivyochokwa, video inaenda views milioni licha ya kuimbwa na msanii mchanga
Hapa ni baadhi ya wamarekani wakiimba kwa hisia kali
ANAITWA LIDOX MNYAMA (#karagweboy), AMETOA WIMBO MPYA WA UNANIFAA.
PLEASE FOLLOW ME ON
LINK IS ON MY BIO ENJOY GOOD MUSIC FROM YOUR BOY #karagweboy https://instagram.com/p/CTCzov-K1Ya/
@spotify and @spotifyafrica as Lidox Mnyama u can streem and watch my songs in Spotify...
Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power .
Magufuli baba Lao.
Makonda baba Lao .
Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine majaliwa yake anajua Mungu.
Funzo tukanyage kwa adabu ardhi ya Mungu.
Nakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.
Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k
Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa kusikia imepigwa.
Kama kile kibao kilichotamba sina makosa akiwa ana rap.
James Dandu baada kuishi...
Wakuu
Katika vitu visivielewi ni pamoja na uimbaji wa msanii huyu wa Marekani anayejiita Dj Khalid
Kila nyimbo aliyomo utaambiwa ni wimbo wake kamshirikisha msanii furani
Anachokiimba sasa kwenye huo wimbo wake ahahah ni kituko, nyimbo nzima yeye atasikika mwanzo akisema "Dj Khalid.. Another...
Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa Matatizo ya nchi hii.
Kwa muda wote ninajaribu kuwasikiliza mmoja baada ya Mwingine na bado sioni ni...
Kama kichwa Cha habari kilivyo. Poleni na majukumu. Kuna wimbo nliupenda sanaa, nliusikia Mara moja tu kwenye coaster wakati nasafiri.
Hints;
1) Ndani kashirikishwa Juma nature.
2) Huo wimbo ni mpya.
3) Ni dizaini ya nyimbo Kama za kina C Bella.
4) Baadhi ya maneno huko ndani- - Kiitikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.