Dah! Huu wimbo wa Pepsi alioimba diamond ni balaa

Dong Jin

JF-Expert Member
Jun 4, 2018
504
1,000
Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei. Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa matangazo

Hili ni la pili baada ya lile la Cocacola la kuonja msisimko. Mwenye nalo la Pepsi atupie hapa
 
schoolboy

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
1,366
2,000
Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei...

Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa matangazo

Hili ni la pili baada ya lile la cocacola la kuonja msisimko
Mwenye nalo la pepsi atupie hapa
Jingle za Pepsi, Coca-Cola na coral paints ni album nzima ya Nchumali

Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,994
2,000
Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei...

Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa matangazo

Hili ni la pili baada ya lile la cocacola la kuonja msisimko
Mwenye nalo la pepsi atupie hapa
Ule wa napuliza kipenga puliza kipenga nalielewa sana jamaa anajua taste ya vitu vizuri kuna watu wanaimba nyimbo melody ngumu kwenye matangazo. Mwingine ninayemkubali ni Enika, na lile tangazo la barnaba tumekusoma la tigo fiesta sijui ya mwaka 2017/18
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom