Tundaman - True Love. Wimbo huo unatoka lini?

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
16,133
33,452
Nimeona vipande kadhaa youtube na tiktok kwakweli wimbo una mahadhi fulani ninayo yakubali.

Naomba kujua wimbo huo watoka lini au kama umeshatoka weka link hapa.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom