Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi.
Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili.
Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, alikuwa yuko sawa, alienda Bukoba akafanya shoo fresh tu na kudrive kurudi Dar na kuendelea na mishe...
Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya mtungi!
Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi
Ukiniongeza na hii...
Heshima kwenu wakuu.
Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka.
Huwa wanatumia program gani wadau? Na pia je, huwa ni kwa kutumia simu, computer...
Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi mbalimbali vya redio kama TUIMBE SOTE na kipindi cha TUMBUIZO ASILIA kilichokuwa kikirushwa hewani na...
Hivi huyu The Notorious BIG kwenye wimbo wa I got a story tell alikuwa anamzungumzia nani?
Nimejaribu kuelewa anachozungumzia lakini wapi but kuna watu wanasema ni True Story.
Wataalam wa Hiphop mnisaidie
Ni wakati huyu kijana akapewa heshima ya pekee kunako industry ya muziki. Tangu atoe ngoma yake ya kwanza "Dar Kugumu" mwaka 2018, ameendelea kutoa hits after hits, ngoma zote ni moto wa kuotea mbali.
Hebu angalia hii list ya nyimbo zake ndio utanielewa:
1. Dar Kugumu
2. Yale
3. Manyaku
4...
Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi.
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha.
Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda.
Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea...
Mbosso ni mmoja wa wasanii ambao umesainiwa chini ya lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz. Alisainiwa baada ya kuondoka kwenye bendi maarufu ya Yamoto ambayo walikuwa bendi ya wanachama wanne.
Na Kumfanya awe msanii pekee aliyesainiwa chini ya lebo ya Wasafi. Mbosso ni...
HII Ni kwa waamini tu.
Kuna watu ( wakristo kwa waislamu) huwa wanafikiria kwamba ili kuondokana Na Shari Za Ibilisi Ni lazima wapige Dua nzito, visomo vizito vizito, maombi mazito nakadhalika.
Ni Kweli WaPo sahihi Dua,visomo, maombi vinasaidia Sana katika kupambana Na Shari Za Ibilisi but...
hii nyimbo ya Phil collins- do you remember kiukweli kama umemipitia kwenye mapenzi na uliyempenda,ulitaka kuwa chaguo lako,kulingana na maisha ya hapa na pale.
Nitawarudisha nyuma lyrics
We never talked about it
But I hear the blame was mine
I'd call you up to say I'm sorry
But I wouldn't want...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.