Kwa mtazamo wangu, huu wimbo umepangiliwa vizuri

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,323
40,171
Mi si mtaalamu wa mpangilio wa sauti kwenye muziki, ila nikisikiliza huu wimbo, naona umepangiliwa vizuri na hauchoshi kuusikiliza; najikuta mara kwa mara naurudia tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom