'Nikilewa sitaki nigasiwe' unaweza ukawa wimbo bora wa mwaka 2021,2022.

HOPEfull

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,642
1,976
Kwa upande wa mziki wa bongo flavor huu wimbo unaweza ukawa wimbo bora.
Ni wimbo uliotulia kuanzia uimbaji hadi mapigo.Mwimbaji Amejaribu kubadilisha uimbaji tuliouzoea wa kwaya yaani mashairi na kiitikio na pia mapigo siyo kama ya miziki ya dance ya twanga pepeta.Ni mapigo ya aina yake ya kunesanesa.Halafu kama hauishi hamu kuusikiliza.
Nimejaribu kutoa maoni tu kwa wapenzi wa bongo flavour.
Week end na pasaka njema.
 
Njomba nchumari hakuna alichotunga mule zaid ya kuweka maneno yake ya Kiswahili so rate ya ubunifu wake mule ni 10 ya mia..otherwise kautendea vyema sana ule wimbo
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom