Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake.
Mama amefungua mipaka.
Wawekezaji wameanza kumiminika.
Mikataba ya Trillioni za pesa inasainiwa.
Na mengine mengi tutazidi kuyaona.
Mwanamziki wa Bongo fleva Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpozi hivi karibu ameachia song lake la Umeniweza baada yakukaa kwa muda mrefu bila kuachia anysong wimbo wake kiukweli ni mzuri kuanzia beat, melody hadi mashairi lakini umeshindwa kutoboa au kuhit kabisa shida ni nini?
Kwa upande wa mziki wa bongo flavor huu wimbo unaweza ukawa wimbo bora.
Ni wimbo uliotulia kuanzia uimbaji hadi mapigo.Mwimbaji Amejaribu kubadilisha uimbaji tuliouzoea wa kwaya yaani mashairi na kiitikio na pia mapigo siyo kama ya miziki ya dance ya twanga pepeta.Ni mapigo ya aina yake ya...
Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake “Ekwueme” amefariki dunia.
Osinachi alishirikishwa na Prospa Ochimana katika wimbo huo, amefikwa na mauti jioni ya Aprili 8, 2022, hii baada ya kupambana na ugonjwa usiojulikana kwa takriban...
Mi si mtaalamu wa mpangilio wa sauti kwenye muziki, ila nikisikiliza huu wimbo, naona umepangiliwa vizuri na hauchoshi kuusikiliza; najikuta mara kwa mara naurudia tu.
Waswahili walisema akufukuzaye hakwambii toka. Steve Mguto hadi unatungiwa nyimbo, ni wakati wako wa kujitafakari na safari ya carrier yako katika club ya Coastal Union hapo katika jiji la Tanga.
Wakuu kwema?
Hivi huu mstari hapa chini unapatikana kwenye ngoma gani ya FID Q. Msaada kidogo.
"Kipaji kama Ngwea, bahati mapande aliwagea, ilikuwaje waache ulaji wa majani ukamuelemea"
Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi.
Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili.
Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, alikuwa yuko sawa, alienda Bukoba akafanya shoo fresh tu na kudrive kurudi Dar na kuendelea na mishe...
Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya mtungi!
Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi
Ukiniongeza na hii...
Heshima kwenu wakuu.
Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka.
Huwa wanatumia program gani wadau? Na pia je, huwa ni kwa kutumia simu, computer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.