wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Dodoma ashauri kutoza faini ya Tsh. 10,000/- kwa wasioimba wimbo wa Taifa

    Nukuu: “Kumekuwa na tabia iliyojitokeza ya kutoimba wimbo wataifa mpaka nikajiuliza kuimba nijambo la kisheria, kisera au Niutaratibu ,sasa kama ni jambo la kisheria Mhe. Waziri watu wengi wanafanya mzaha kwenye kwenye kuimba wimbo wa Taifa kwakweli watu waliokuwa wanaimba hapa hawatii maadili...
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wimbo wa Taifa la Mbagala

    Siyo ule wimbo tunaoimba huku tumesimama wima mithili ya askari anayelinda benki ya CRDB. Siyo ule wimbo ulioimbwa kabla ya Timu ya Taifa kupigwa risasi moja ya kichwa na Timu ya Taifa ya Uganda katika michuano ya  CHAN pale kwenye uwanja wa Mkapa. Siyo huo ! Huu ni wimbo  sugu unaoimbwa na...
  3. Adili Utotole

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuimbe wimbo wa amani na upendo kabla hayajatokea mauaji ya kikatili

    Ukatili ni hali ya kusababisha kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwingine,ilihali lipo suluhisho la wazi linaweza kupatikana kwa urahisi Unaweza kuwa ukatili wa kukatisha uhai wa mtu au mnyama, ukatili wa kingono , ukatili wa kunyima haki mtu ,kundi la watu au taasisi...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Huu ndio wimbo unaotamba kwa sasa hapa nchini

    Mlete mzungu bongo moja la ngoma. 🙌🙌🙌
  5. K

    JamiiForums Tanzania wadau naomba maneno ya wimbo " WAMTETEA BURE" wa KIKO KIDS mtunzi SALUM ZAHORO

    wimbo mzuri sana sana kutoka kwa huyu fundi wa tabora kiko kids
  6. W

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna wimbo wa taifa tunavyouchukulia ni kukosa uzalendo au ni aibu ya kutokujua?

    Wimbo wa taifa ni moja ya nguzo muhimu sana katika kuimarisha uzalendo na umoja wa taifa lolote duniani, Kwetu Tanzania wimbo huu huimbwa mara nyingi sana kwenye mikusanyiko ya kitaifa pamoja na sehem maarufu zaidi ikiwa ni uwanjani inapocheza time yetu yeyote ya Taifa. Ukweli ukiangalia...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bado unauhitaji wimbo wa Sanura wa Tongolanga? Fanya hivi...

    Nenda youtube, Andika 'Sanura audio' na wimbo utauona chini ya Makondeko Group Musika tayari kwa kuenjoy. Mimi nimeshindwa kuupandisha humu. Aisee ni bonge la wimbo, jamaa alikuwa anajua sana bahati mbaya tu dunia haikuwa upande wake. R.I.P Tongolanga.
  8. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi Huu Wimbo Unaitwaje Wadau ni Old is Gold

    Wadau heshima kwenu, naomba kujua jina la huu wimbo Unaitwaje. Nimejaribu kuimba melody yake unavyoenda natumai ukiuskia kama unaujua utaufahamu tu. Naomba mnisaidie jina lake tafadhali. Thanks a lot...!
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Rayvanny "Tetema" waondolewa YouTube

    Wimbo wa msanii wa WCB Wasafi ambaye afanyi vizuri kwa sasa Rayvanny umeondolewa YouTube na producer wa wimbo huo S2kizzy. NB: wasanii watambue muziki ni biashara waache kukosa shukrani pale inapofikia zamu yao nao kutoa kipato kwa muwekezaji. Utetezi wa kusema mimi ni mtoto nimekuwa nataka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kitendawili cha utawala bora kwa watawala na viongozi wetu

    Neno “Utawala”pekee linaweza kutumika katika fasihi kadhaa, mfano utawala katika ngazi za taasisi (corporate governance), utawala wa kimataifa,(international governance),utawala wa kitaifa, (national governance) lakini pia utawala wa mitaa (local governance). Utawala bora ni matumizi ya uwezo...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wenye akili tayari wameanza kutembelea nyota ya Mandonga. Sikiliza wimbo wa Mandonga " acapella"

    Wewe muimbaji mimi sikujui and am sure as hell a millions of Tanzanians do not know you but we are listening to you because you are talking about Mandonga.
  12. evangelical

    JamiiForums Tanzania Hongera Kidunda Ila Umetuaibisha Kwenye Wimbo wa Taifa

    Huyu Selemani Kidunda kwenye ngumi za leo pale kwenye nyimbo ya taifa ametuaibisha alafu eti ni mwanajeshi,. Jeshini embu angalieni mnavygroom watu wanatuhaibisha sio vizuri kwa kweli Hongera kwa ushindi Selemani Kidunda
  13. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Njoo unisaidie jina la wimbo wa Franco Lwambo nidownload ili niburudike

    Wapenzi wa Rumba zito na tam la Franco Lwambo Makiad njoo mnikumbushe jina la wimbo anaoimbaga mwishon anamalizia "OMA" sijui jina la huu wimbo, yaani huwa nauskia tu watu wanaskiliza na kuburudika. Anaejua jina la huo wimbo naomba anikumbushe nidownload. Karibuni
  14. N

    JamiiForums Tanzania Je, kila redio inaruhusiwa kupiga Wimbo wa Taifa?

    Tulipokua shule tulifundishwa kwamba wimbo wa taifa unapigwa tu pale kuna tukio maalumu. Sasa kuna kituo cha radio kila siku asubuhi kinapiga. Je, ni kila radio inaruhusiwa kufanya hivo
  15. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...? NAWASILISHA.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Koffi Olomide wana Simba SC tumemkosea nini hadi Kututusi Tusi la Nguoni katika Wimbo wake mpya wa Acquitte?

    Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo (tulilopewa na Haji Manara) kisha kwa umakini wako kabisa lisikilize hilo Neno la Pili baada ya Neno...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Huu hapa ule wimbo unaoutafuta, NDO HUYO HUYO

    PM nimepokea maombi Kama 300 watu wakitaka link ya wimbo mpya wa taifa. Ndo HUYO HUYO by Sir Jay, enjoy.
  18. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Wimbo huu nautafuta sana, unaitwaje?

    Anaejua jina lake na msanii aliyeimba aniambie unaitwaje?! Maana nimehangaika sana bila mafanikio
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naombeni huu wimbo

    Huu wimbo nimeupata ukiwa hivi nusu nahitaji wote, Tafadhali mwenye nao Naomba anisaidie hapa. Shukrani kwa atakaenisaidia
  20. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Zuhura Shaabani aliyeimba wimbo "Hakuna Tenda, Hakuna Buzi"?

    kuna promoter wa muziki ana mtafuta please anae jua details zake afunguke hapa. anyways: huyu kwenye hii video sio bi zuhura shaabani, huyu anaitwa bi samra alifanya cover ya wimbo na hapo ilikuwa ni muscat oman. yes am a man i am a dj i love music all kind of music. i...
Back
Top Bottom