wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam. Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa

    Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa Uzi tayari.
  3. JamiiForums Tanzania Je, wajua wimbo wa taifa wa nchi ya Hispania hauna maneno?

    Wimbo wa taifa la hispania (The Marcha Real) ni moja ya nyimbo za taifa zisizo na maneno rasmi, hata hivyo kuna maneno (mashairi) yaliwahi kuandikwa huko nyuma. Aina mojawapo ni utunzi wa maneno yaliyotungwa kipindi cha utawala wa Alfonso XIII's na mwingine katika utawala wa Francisco Franco...
  4. JamiiForums Tanzania Nguvu ya wanawake kupush wimbo wao wa 'Wanawake Moto' ni ndogo sana

       Kuna wimbo flani hivi wa wanawake, Jokate kachukua wenzie wakaenda usafini wakapewa Mboso wakachora verse studio wakashusha kichupa, nilivyoona chakuwasifia wanawake, nikajua huko Tiktok hakushikiki. Nafika Tiktok mabinti wala hawafanyi challenge ya kichupa chao. Wamevurugwa na Mapenzi tu...
  5. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mika: Mwimbaji wa wimbo wa Relax

    Ni Alhamisi Magaidi watatu walijitoa mhanga kwa kujilipua mabomu matatu ya kujitengenezea wenyewe wakiwa ndani ya treni za chini ya ardhi katika Jiji la London huko Uingereza. Baadaye, gaidi wa nne alilipua bomu lingine kwenye basi lililokuwa Makutano ya Tavistock Square. Katika mashambulizi...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Anayejua jina la wimbo huu aje

    Kuna wimbo wa zilipendwa unaimbwa hilo oooh oooh, unaongelea jitu zima lililokuwa linaleta ujuai na hatimaye likapigwa na katoto. Jirani yangu ni Simba damu nataka niweke hiki kibao aburudike
  7. JamiiForums Tanzania Huu wimbo unaitwaje jamani

    Jabari wanajamii forums Kuna wimbo wa zamani sana wa bongo fleva unasema maneno haya SAUTI YAKO INANIWEKA ROJO JUU MAPENZI YAKO YANANIWEKA ROJO JUU SIONI MWINGINE KATIKATI YAKO SIONI MWENGINE ZAIDI YAKOO NI WIMBO WA JAMAA MMOJA HIVI KAIMBA NA MDADA YAANI NAITAFUTA CSANQ HII NYIMBO MSAADA WENU...
  8. JamiiForums Tanzania Nani ana MP3 ya wimbo wa Orchestra Makasi Dar es Salaam jiji umbea mwingi?

    Wakuu naomba mwenye wimbo wa orchestra makassy Dar es salaam jiji umbea mwingi, ukila kisamvu kaza roho mama Mwanza aaaa mteva, shinyangaaa mteva naomba kuwasilisha.
  9. JamiiForums Tanzania Nani anatamani kusikia Darasa na Zuchu kwenye wimbo mmoja?

    Binfasi naamini Darasa kwa uwezo wake na style yake ya kuchana akikaa kwenye ngoma moja na Zuchu watatoa chuma kimoja matata sana. Tuombe Mungu abariki siku moja tuone collabo yao ya kuisimamisha nchi.
  10. JamiiForums Tanzania Video: Rais acheza wimbo wa Tyla

    Rais was Afrika kusini Cyril Ramaphosa ameonekana akicheza wimbo maarufu wa ‘water’ ulioimbwa na msanii wa nchi hiyo Tyla. Ikumbukwe pia mwaka huu Msanii Tyla ameshinda tuzo kubwa duniani za Grammy awards kama Best African Music Performance kupitia wimbo wake huo wa ‘water’.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa taifa mzuri AFCON 2024

    Ukiacha wimbo wangu wa Taifa (Tanzania), wimbo wa DRC umetulia sana. Je wewe kwako upi ni wimbo bora wa taifa kwenye AFCON 2024?
  12. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu wa kidigo aliweka huu wimbo baada ya game ikabidi tufute matokeo tuanze mechi upya

    Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu. Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa kiuno https://m.youtube.com/watch?v=TbSuWP0taQw&pp=ygUGWWFtbWkg Mtoto alikua kavaa kanga tu...
  13. JamiiForums Tanzania Nandy atafutwa na Usher Raymond kwaajili ya remix ya wimbo wa "Dah"

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya THE AFRICAN PRINCES Nandy, ameweka wazi kutafutwa na msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao awali alimshirikisha Msanii Alikiba. Nandy ameshare chat zake na Usher akimuomba aweke Verse...
  14. JamiiForums Tanzania Joh Makini alalamika kukosa sapoti kwenye wimbo wake

    Msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini Joh Makini, amelalamika kukosa sapoti toka kwa msanii mwenzake aliefanya nae wimbo. Joh ameandika kwenye ukurasa wake wa X, “Hii tasnia yetu bana kuna vitu vinafikirisha sana sometimes kufundishana uoga kwiingi mtu anakubali kushiriki kwenye wimbo kiroho...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli juu ya freshley mwamburi wimbo wa stella ..

    Wakuu Kitambo Fulani pale Kenya ulihit sana wimbo kwa jina la Stella .. Wimbo huo ulioimbwa na mtu aitwaye freshley mwamburi ni kisa cha msichana aliyeitwa Stella , ambaye alipelekwa japan na bwana mwamburi kusoma udaktari mpaka alipomaliza masomo yake Ili kurejea nyumbani Kenya na shida...
  16. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Harmonize "I made it" ni mkali au wa kawaida?

    Finally Msanii Harmonize ameuachia wimbo wake wa "I made it" ambao kawashirikisha wasanii Bien wa kenya na Bobby Shmurda toka States. Huu wimbo ulikuwa unasogezwa siku mbele kuachiwa, sio mara moja bali ni mara nyingi, na hapo juzi kati Harmonize alisogeza mbele kuutoa baada ya msanii Diamond...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Nay wa Mitego umewagusa Wakenya, wajiuliza ni jiwe kwa serikali yao au kwa Tanzania!

    Wakuu, Nay wa Mitego amedondosha jiwe jingine, ngoma inaitwa "Wapi Huko", kwenye wimbo huu anagusima mambo mengi ikiwemo hali ngumu ya maisha, akisema kwenye nchi hiyo bei ya pombe ni rahisi kuliko chakula, uchumi unachechemea, muda wa kazi umeme haupatikani, soka imeingiliwa na siasa, wananchi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua aliyeghani pamoja na Tongolanga katika wimbo 'Baba na Mama'

    Mnaofahamu naomba mnijuze tafadhali! Walipatana hao watu kwenye hicho kibao si mchezo. Pia ni nani alikuwa analizimua lile goma pale mwishoni walipoanza kuimba kwa kimakonde? R.I.P Tongolanga, kwangu utabaki kuwa mwanamuziki bora daima. -kila munu avena kwao -chilamba cha vene -sanura -baba...
  19. JamiiForums Tanzania Harmonize ahofia kurogwa wimbo wake usifanye vizuri

    Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani. Hii ndio post Harmonize...
  20. JamiiForums Tanzania Fungieni huu wimbo unahamasisha Umalaya kwenye Jamii

    Kuna wimbo unaitwa "Huu Mwaka". Kiukweli huu wimbo leo ndio mara yangu ya kwanza kuusikia. Nimeshangaa sana kusikia muimbaji akisema "Kudanga Danga sana ila usisahau kujenga kibanda" Wimbo kama huu unawezaje kuachiwa uchezwe kwenye vyombo vya habari na wakati unahamasisha Umalaya/Kudanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…