wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Watu wa Blues mkuje mnisaide natafuta jina la huu wimbo wa kizungu

    Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio, Anaimba aie ieeee aeee eha Apolo apolo aeee eha Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha Sijui kaimba nani
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Aliyeimba huu wimbo wa "Huu mwaka" mi naona kakosea huu mwaka 2024?

    Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa. Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Lyrics za Wimbo wa "Utanipenda" wa Diamond Platnumz

    Tanta lala la Ooh la la la la la Mmh Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree Umeneja umebaki jina Hanitaki hata Tale Oooh wale shabiki zangu Walionisifu kwa maneno matamu Leo maadui zangu Ni mitusi tu kwa instagram...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi wimbo huu ulipotoka?

    Nibebe - Nyota Ndogo “Nibebe” from the album “Mpenzi” Nyota Ndogo featuring Nonini Nonini Ngoma kali hufanya niwakumbushe wakenya Vile Swahili ni kitamu Au sio Nyota aa, Nyota aa Ndogo oo, Ndogo oo Nakupenda sana sitoficha Kama kukupenda ni makosa Sitaki kuwa sawa duniani Kwani nakupenda sio...
  5. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Anaeijua tafsiri ya wimbo wa affaire d'etat wa Koffi Olomide anisaidie hapa

    Hii ngoma ni kali sana na nmeisikiliza bila kujua tafsiri yake kwa muda mrefu sasa, Naona tu kina Boure mpela, Soleil wanga, fally ipupa, Bebe kero, Brigate sarbati, na Fally ipupa wakilalamika bila kujua wanamaanisha nini https://youtu.be/xtE9cdjeoh0?si=RG2Qy-xTNaNwK9JL Hebu mwenye tafsiri...
  6. AndreRieu

    JamiiForums Tanzania Anayejua jina la huu wimbo naombeni wakuu,

    Msaada wenu unahitajika hapa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna wimbo ulikuwa unaupenda sana lakini kulingana na tukio fulani maisha mwako ukatokea kuuchukua wimbo?

    Wakuu habari za muda huu, natumai mnaendelea vema na majukumu ya kujenga Taifa. Kama uzi unavyojieleza hapo juu, kuna wakati inatokea tuu kuna wimbo wowote ule uwe wa dini, qaswida, au nyimbo za kizazi kipya au hata cha zamani unatokea kuupenda sana wimbo huo na pengine wimbo huo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta huu wimbo

    Habari za Jumapili wadau, naomba mwenye wimbo jina lake unaitwa NITUME MIMI BWANA kuna mapadre sijui ndo wameimba, ila ni wanaume pekee ndo wameuimba, Mwenye nae auweke tu hapa niuchukue maana huko google kote hakuna pa kuichukua zaidi tu upo YouTube na mi sitaki, nataka tu ukae kwenye simu...
  9. Extrovert24

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kwaya Kumuhusu Shetani

    Habari za muda huu wakuu, Let's go Kwani yule aliyeimba "Shetani na Mama mkwe wake wanalia, Shetani na Mama mkwe wake wamekalia msumari" Alikuwa anawaza Nini Wakuu ???
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mashairi (Lyrics) ya wimbo wa Sisi Ni Wale wa Phina

    Msanii wa Bongo Fleva, Sarah Michael Kitinga "Phina" aliimba ujumbe huu kupitia Wimbo wa "Sisi Ni Wale" aliouweka kwenye Chaneli yake ya YouTube, Desemba 29, 2023 na hadi Novemba 28, 2024 umetazamwa zaidi ya mara Milioni 10.99. Wimbo ulilenga zaidi kumpa Mtu Moyo wa kuendelea kujituma katika...
  11. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa Unapaswa kubadilishwa haukisi hata kidogo" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani hawa wala rushwa? Mafisadi?

    Nyimbo ya Taifa ya Tanzania unapaswa kubadilishwa haukisi na Aina ya mashairi yanayopatikana kwenye hizo nyimbo yenu eti" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani? Hawa wala rushwa? Mafisadi? Waiba Mali ya umma?kiukweli nachukizwa na Huu Wimbo WA Taifa Popote pale ukiimbwa Katika vitu ambayo...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wangapi tuko yanga ila kale Ka wimbo ka mnyama hana mpinzan huwa tunakaimba

    Yanga ni team ya ukoo wangu team namba moja naipenda yanga sana kama navyoipenda JamiiForums au pombe ila kuna kawimbo fulani cha simba huwa nakaonea wivu sana kakipigwa najikuta naimba. Sio leo toka zamani Mnyama hana mpinzan Hatushikiki Kiki Hatukamatiki kiki Watoto wa Dar Watoto wa...
  13. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina la huu wimbo sauti kama ya ben poul hivi

    Sauti kama ya ben pol hivi. Ni wimbo wa mapenzi nakumbuka kiitikio Beby so faaa beby so sofaa
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji remix ya wimbo Kama vipi wa Mez B, Ray C na Noorah

    Habari wakuu, Ni wasanii gani unapendekeza watoe remix ya wimbo kama vipi wa Mez B, Ray C na Noorah. Wasanii watatu. Nani aimbe sehemu ya Mez B Nani aimbe sehemu ya Ray C Nani aimbe sehemu ya Noorah Sehemu ya Noorah inahitaji kijana mwenye swaga. Sijui kama tutampata.
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Furaha yatawala ujio wa wimbo mpya wa Harmonize na Rayvanny

    Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu. Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo una maneno ya kuumiza sana (Angalia hapa)

  17. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jina la huu wimbo tafadhali

    Habari ya jumapili wana wa Mungu. Huu wimbo nineusikia redioni nikaupenda, sasa tatizo sijui unaitwaje ili niupakue
  18. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Isabela Kombo Mungu ni mmoja wazua gumzo

    Kuna nabii ametokea anadai wimbo huu mdada kauimba kwa kutumiwa na shetani bila yeye kujua, labda kwasababu amekuja wakati wa trend shetani anaagiza manabii na mitume wa uongo hao wauza mafuta waufute uungu wa Yesu. what I think about it; 1. Mungu ni mmoja tu, ila amejidhihirisha kwa nafsi...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wimbo huu ulisababisha gumzo 'Tata' kuhusu Imani za Dini ya Kikristu na Kiislamu

    Kuna wakati Rais Mobutu Seseseko alianzisha sera ya "African Authentication" iliyokuwa na lengo la Afrika kujitambua. Kama mfano aliamua kubadili jina la nchi hiyo kutoka Belgium Congo na kuiita Zaire. Hata yeye alibadili jina lake la ubatizo la Joseph Desire na kujiita Mobutu Seseseko Kuku...
  20. Kitotole

    JamiiForums Tanzania Wimbo: Cavalier solitaire mwimbaji: JB Mpiana ft Papa Wemba tafsiri: Sule Mkandarasi

    𝙒𝙄𝙈𝘽𝙊 : Cavalier Solitaire 𝙈𝙒𝙄𝙈𝘽𝘼𝙅𝙄 : J.B MPIANA ft PAPA WEMBA 𝙏𝘼𝙁𝙎𝙄𝙍𝙄: 𝙎𝙐𝙇𝙀 𝙈𝙆𝘼𝙉𝘿𝘼𝙍𝘼𝙎 𝙒𝙖𝙨𝙬𝙖𝙝𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙨𝙚𝙢𝙖 "𝙐𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙣𝙞 𝙨𝙬𝙖𝙡𝙖 𝙙𝙤𝙜𝙤 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙬𝙖𝙬𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙤𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖𝙣𝙖" 𝙃𝙞𝙞 𝙞𝙣𝙖𝙢𝙖𝙖𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙬𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙞𝙠𝙞𝙬𝙖 𝙬𝙖𝙬𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙙𝙝𝙖𝙩𝙞 𝙗𝙖𝙨𝙞 𝙝𝙖𝙬𝙖𝙩𝙤𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙚𝙣𝙜𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙤𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙨𝙖𝙗𝙖𝙗𝙪 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞...
Back
Top Bottom