Video: Rais acheza wimbo wa Tyla

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Rais was Afrika kusini Cyril Ramaphosa ameonekana akicheza wimbo maarufu wa ‘water’ ulioimbwa na msanii wa nchi hiyo Tyla.

Ikumbukwe pia mwaka huu Msanii Tyla ameshinda tuzo kubwa duniani za Grammy awards kama Best African Music Performance kupitia wimbo wake huo wa ‘water’.
 
View attachment 2900647

Ikumbukwe pia mwaka huu Msanii Tyla ameshinda tuzo kubwa duniani za Grammy awards kama Best African Music Performance kupitia wimbo wake huo wa ‘water’.
Hili bonge jinga linatingisha matako. Badala ya kumchezesha Rais kilume ndago.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom